Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Thank you
 
Kuna Huyu Dogo kutoka Ghana.. Namuona Yuko poa SANA... Ingawa sijui umri wake sahihi.. Maana Sisi waafrika kwa urongo hatujambo
 
Kuna Huyu Dogo kutoka Ghana.. Namuona Yuko poa SANA... Ingawa sijui umri wake sahihi.. Maana Sisi waafrika kwa urongo hatujambo
Huyo kama kweli tumemnasa anakwenda kucheza kwa mkopo Sporting Lisbon Ureno huku process za work permit zikiedelea.

Kwenye umri kazi sana lol.

YNWA
 
Acha wivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu watakuja wanauliza ooh mendy ,sijui kante wako wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unaweza kubeba kombe Kama hili? Unajua uzito wake kwanza? Tangu umezaliwa timu zako zote mbili hazijabeba hili zaga ..tangu ulivyokuwa Arse8 na Sasa Man Shityee [emoji1][emoji23] [emoji23][emoji23] na bado utahama Sana.
 
Ndio wanataka wampe balon d’or.
Kante amebabe mmakombe yote muhimu kwaa misimu kadhaa ..hana red cards, tangu amejiunga Leicester yeye ni makombe tu..

Wakimnyima labda ni rangi yake lakini anastahili.

Na mwaka huu France wanabeba Euro.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji108]
 
Itakuwa umeanza kushabikia mpira juzi wewe.

Huyo Kante tukija kwenye namba ndio atazidiwa na messi.naona hapo unasema hana kadi nyekundu [emoji3].

Walikuwa wakina ribery,walikuwa wakina sneider walichukua makombe yote lakini hawana ballon d’or .

Sasa huyo kante hata tu kwenye kikosi bora cha msimu hayupo atashindaje ballon d’or ?

Tuna waacha muendelee kupiga kelele lakini huyo bado sana kuchukua ballon d’or.

Kikosi cha chelsea hakina maajabu,kule klabu bingwa dunia safari hii mtaenda tena kutia Aibu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…