Wewe ndo mpiga ban wa jf siku hizi?
Nyie ndo mlioubeza usajili wa Chelsea under Lampard na kuona tumepuyanga sasa mmeangukia pua munaanza kujilaumu na kuilaumu bodi yenu wakati ndo ilimtuma Klopp kwenda kwenye media kuiponda Chelsea wakati wa usajili.
Lampard alipatia kwenye usajili ila aliboronga kwenye formation. Mimi naamini Liverpool Ina wachezaji wa kawaida tu ila klopp kajua jinsi ya kuwatumia ndani hii misimu minne. Sasa Tuchel atafanya Mara kumi zaid ya Klopp.
Acha ushamba ..maana msimu ujao ni mwendo wa kuwapelekea moto tu.
#kukuKAMAkuku.
#aminiKwamba.
#CFC
Huyu Tsimikas akipewa game time mtaanza kuona new Robbo. Jamaa ni mzuri he is a good crosser.
Mshahara wa £200 kwa new comer Liverpool lazima uwe extra special talents sio hivi hivi.Nafikiri Barca wanapaswa kukubaliana haeatampata Iniesta Xavi na ile tik tak soccer kwa wachezaji wake wa miaka hii ya karibuni.
Coutinho amesuffer kwa ajili ya kitu kama hiki hajafail kwa kiwango ambacho wengi tunaamini.
Mimi naamini atakayependekezwa na JK ujue ni mzuri labda injuries tu ziharibu. Najiuliza kama keita ni umri , mbona bundesliga alikiwasha bila injuries za muda mrefu?
Mimi yeyote aje ambaye bei itaanzia £35 Million naamini atakua mzuri under JK selection.
Tuamini hivi, Jk na Liverpool hatuna desturi ya kuwasajili mastaa wanaowasha moto kwenye ligi tano bora ulaya, hivyo kwenda kwenye big names ni uwongo tutasajili around £25 -£35 kwa mf ili mshahara uwe £150-£200.
Wish us all the best.
Tatizo dogo alikamia sana hayo mashindano matokeo yake ndio haya.
Hendo Thiago Fabinho going forward itakua mtihani sana ndugu. Unless iwe Thiago acheze namba 8.Mbappe mmoja hutaamin
Mid ya hendo faby thiago dunia itasimama. Salah mbappe mane
Jota bobby... hot
Nina imani nae sana dogo.Huyu Tsimikas akipewa game time mtaanza kuona new Robbo. Jamaa ni mzuri he is a good crosser.
Mpira hauko ivyo ndugu yangu, kwani Klopp alivyoboronga kabla ya kuja kukurupuka mwishoni Ina maana makocha walijua mbinu zake? Mbona Zizzuo kazingua Madirid huko ..achana na TT maana tayari ana kombe mkononi. Suala la kufungwa Lina sababu nyingi ikiwemo iyo uliyosema. Sababu nyingine ni usajili ndo maana Arteta ana/amefeli. Hivyo msijipe moto eti msimu ujao mtarudi kwenye peak kwa sababu ya game zenu hizi mbili tatu za mwisho. Bado tunaona Liverpool ina magepu mengi ya kukava tofauti na Chelsea ambayo muunganiko umeanza kuonekana na damu changa bado zina moto wa kutosha.Mbona huko France alifukuzwa huyo,msimu ujao mtamkataa huyo.hiyo ni Epl.sio ligi za hovyo kila msimu timu moja tu.ndio maana mechi ya Mwisho mlichezea na hata rate yenu ya ushindi ilikuwa inashuka jinsi ligi ilivyokuwa inaenda walishawajulia.
Msimu unaokuja timu yenu watu watakuwa wameshawajulia kama alivyowafanya Aston villa.
😂😂😂😂 Tatizo mimi huwa nashindwa kubishana na watu ambao hampo objective.Nyie kuja kubeba uefa tena labda baadae tena miaka 30 ijayo.
Wakati huo sisi Chelsea tutakuwa tunakimbizana na Madirid kwa idadi.
#aminiKwamba.
#CFC
Sasa msisajili bakini na kikosi hichi hichi muone kama mtafua dafu, hii ni EPL mkuu siyo legue one, seria A, maana hata nikikuambia utaje kikosi B huna, ameumia VVD tu hapo ..Allison karuhusu bao za kutosha.Liverpool hatutishwi na usajiri.
Msimu uliopita kabla ya huu kuisha tumechukua kombe kwa kumsajiri adriani peke yake.na ubingwa tumechukua
Sisi tunaamini kwenye ubora wa wachezaji sio kusajiri tu,wewe unaamini ukisajiri lazima uchukue ubingwa?
Hahahahahaha sawa mzeee vip apo mianzini mzee wa kazi ..huku tunakula upepo mwanana na kivumbi cha jangwani tu..😂😂😂😂 Tatizo mimi huwa nashindwa kubishana na watu ambao hampo objective.
Maana mimi nitakuwa nakupa points na facts wewe unanitemea pumba.
Gudi tu mzee tupo yente. Haina kwede ukirudi leta tende shazi.Hahahahahaha sawa mzeee vip apo mianzini mzee wa kazi ..huku tunakula upepo mwanana na kivumbi cha jangwani tu..
Labda aje kocha mwingine ndo apangwe sio KloppHuyu Tsimikas akipewa game time mtaanza kuona new Robbo. Jamaa ni mzuri he is a good crosser.
Yupo viziri san tatizo akija atapangwa wapi?Mnasemaje kuhusu Raphina wa leeds?
Huyu wanasema hawauzi.Mnasemaje kuhusu Raphina wa leeds?
Mchezaji mwenye kipaji anahitaji kuaminiwa kupewa game time.Alivyokuja klopp alimsifia kwamba anajiamini lakini Saizi amepoteza kujiamini Kabisa.
Sio kipana kaka wala hakitishi ni maarufu tu hapo bro.Ila England wana kikosi kipana na cha kutisha Sana wasipochukua hii Euro watakuwa wamerogwa , wachezaji kibao tena wadogo