Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sina mashaka na uwezo wa Konate bali nina mashaka na fitness ya Konate.

Huenda tukaongeza Kitanda cha Konate kwenye Wodi ya Liverpool
 
Ox
Keita
Matip
Gomez
Origi (huyu msimu huu hali yake ilikua ngumua)

Hawa ni pancha wanakuacha popote pale.
 
We Liverpool fans as friends of Chelsea and Villareal we celebrate the fall of Manchester...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji110][emoji110][emoji110][emoji110]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kila nikimfikiria olachuga bora wachukue city ,lakini pia kila nikimfikiria pain killer bora wote wasichukue kitu ambacho hakiwezekani... Yoyote atakayechukua HATUTAKUNYWA MAJI HUMU

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa.....fainali iludiweee iludiweee we[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa.....fainali iludiweee iludiweee we[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Hongereni sana wakuu, sisi Liverpool Halisi tulikuwa nanyi bega kwa bega kwa kufunga na kusali ili mchukue Kombe, maana maombi yetu kwa team yetu yaligonga mwamba.
 
Unai Emery amebeba Europa

Thomas Tuchel amebeba UCL

Kumbe tatizo halikuwa Unai wala Tuchel bali Tatizo ni League One.
League one ni Mediocre hivyo inaifanya PSG iwe Mediocre nje ya League one.
 
Pep Bayern alikuwa na kila silaha lakini kashindwa kutamba Ulaya.

Pep Man City kakabidhiwa funguo ya Benki anunue kila silaha lakini kashindwa kutamba Ulaya.

Kumbe ubora haukuwa wa Pep bali ubora ulikuwa ni wa Barcelona yenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…