one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,325
Unajuwa kuna wakati labda mtu mazoezini kafanya mambo basi akija katika mechi inakuwa tofauti na pia inategemea unacheza na nani. Mimi naamini kabisa wenzetu wanaweza asikupende lakini ukiwa na uwezo anakupa nafasi haijalishi tofauti zenu. Roy Kaean hakuwa na uhusiano mzuri na na kocha wake enzi hizo lakini hakuwahi kumweka bench. Natumaini Mane ataomba msamaha tu katika hili. Klop nimesikia kasema maamuzi nimefanya jana jioni na vijana wamezoea huwa nawaambia sababu zangu ila sikuwa na nafasi ila sio shida lakini na uhakika nyuma ya pazia atampa makavu team first.kwenye nidhamu nakubaliana na wewe kabisa, Mane kakosea sana tena sana!....
nilikua naweka sawa hapo uliposema et kwakua hayupo form hakustahili kuanza, ndio nikakwambia kuna kipindi Firmino akiwa hovyo kabisa alikua anapangwa daily mbele ya Jota aliyekua form!
Mane tanakupenda tunakukumbali lakini kwa hili la jana hakika aombe msamaha kwa Klopp na wachezaji wenzie.
Chamsingi tushinde mechi zetu zote zilobaki, Bila kuwaangalia hao wawili... Maana Lazima mmoja achomoke...Hapana haijalishi hata leicester tutamtoa. sisi tukishinda mechi zote tuna point 69 leicester sababu watakutana na Chelsea lazima mtu atapoteza point bado draw ni bora zaidi. itakuja goal difference only ila mechi ya jana imetupa uhai na nafasi zaidi labda tulivuruge wenyewe tu lakini chance kubwa tushinde game zetu zote hawa wawili wataamua hatma zao.
Na huu ndo udhaifu wa Klopp anakariri wachezaji mpaka wanajiona wapo juu ya club.Nakumbuka Salah alikuja kufanya Interview moja tu Matusi aliyomwagiwa huwezi kuamini! Sasa utovu wa Nidhamu alioufanya Mane jana ndiyo naangalia hapa wale waliomtukana Salah je watasema chochote?
Mkuu kile kitendo kwa kweli dogo kafeli haijalishi kama Klopp alimuahidi kumuanzisha jana na baadae Klopp akabadili na kumanzisha bench alitakiwa kwanza aone the positive side maana huyo Jota aliechukua nafasi yake jana kafunga goli murwa sana na alikipiga haswa hivyo Mane angetulia kwanza. Yeye mwenyewe kashasema huu ndio msimu wake mmbaya tangu ameanza kucheza professional football hivyo tayari kasha lost atulie asubiri to prove the doubters wrong next season sio kumdharau Klopp tena nyumbani kwa mahasimu wakuu Manchester United .Hellow brothers kitambo kidogo
Mnaonaje utovu wa nidhamu alioufanya Mane dhidi ya kocha wetu?
Kwa kweli haifai kabisa
Captain Marvelous
Na huu ndo udhaifu wa Klopp anakariri wachezaji mpaka wanajiona wapo ya club.
Kwa kutojiamini kwake anaweza mtetea badl ya kumkazia benchi hadi aombe msamaha.
Mbona kina Philps wanakuja vizuri
Klopp pressed on Mane again: "If somebody shows me 5 million times respect and one time not, what's more important? I can see the headlines you're making of it, but that's not the case. If you would have seen me as a player, what I did out of emotion, it was insane!"Hellow brothers kitambo kidogo
Mnaonaje utovu wa nidhamu alioufanya Mane dhidi ya kocha wetu?
Kwa kweli haifai kabisa
Captain Marvelous
[emoji23][emoji23][emoji23] Klopp mwanasiasaKlopp pressed on Mane again: "If somebody shows me 5 million times respect and one time not, what's more important? I can see the headlines you're making of it, but that's not the case. If you would have seen me as a player, what I did out of emotion, it was insane!"
Klopp anawatetea sana sometime ndo maana mourinho huwa hakawiziKlopp pressed on Mane again: "If somebody shows me 5 million times respect and one time not, what's more important? I can see the headlines you're making of it, but that's not the case. If you would have seen me as a player, what I did out of emotion, it was insane!"
Klopp ni kocha mzuri sana. Ukiachia mbali uwezo wake kiufundi jamaa anajua sana man management.
Huyo Mourinho kutokawiza kwake ndio kunamharibia kila siku. Kocha huwezi kuwa na bifu na mchezaji wako tena wazi wazi kabisaKlopp anawatetea sana sometime ndo maana mourinho huwa hakawizi
Mane ameanza kuwa mzembe kizuri zaidi jota anafanya powa anapopata namba sasa yeye hata kama anazingua anataka aendelee kucheza tuMkuu kile kitendo kwa kweli dogo kafeli haijalishi kama Klopp alimuahidi kumuanzisha jana na baadae Klopp akabadili na kumanzisha bench alitakiwa kwanza aone the positive side maana huyo Jota aliechukua nafasi yake jana kafunga goli murwa sana na alikipiga haswa hivyo Mane angetulia kwanza. Yeye mwenyewe kashasema huu ndio msimu wake mmbaya tangu ameanza kucheza professional football hivyo tayari kasha lost atulie asubiri to prove the doubters wrong next season sio kumdharau Klopp tena nyumbani kwa mahasimu wakuu Manchester United .
Watetezi wa Mane wanasema ameonyesha ni fighter anataka apambane uwanjani kuisaidia timu kuingia top 4 na wanasema mentally alikua ready to wear the jersy na apambane kushinda.
Msimu huu wa 2020 2021 amecheza mechi 45 ambazo ni EPL 32,UCL 10,.FA 2 na Community 1.Amefunga magoli jumla goli 14(EPL amefunga goli 9,UCL amefunga goli 3,FA amefunga goli 2)... Ana assit 7. This is poor really poor by any standards.
Klopp kashasema it's all good. Hana muda wa hayo mambo mission yake sasa ni Top 4 finish endapo Chelsea ama Leicester watateleza. All the best Klopp.
YNWA
kweli lakini sometime wachezaji wanafanya mambo ya kishamba kama huyu Mane wetu mourinho hanaga uvumilivu kabisa tofauti na kloppHuyo Mourinho kutokawiza kwake ndio kunamharibia kila siku. Kocha huwezi kuwa na bifu na mchezaji wako tena wazi wazi kabisa
Huyu jamaa anawaogopa wachezaji ndomana hataki kusajili mimi nishamkatia tamaaTayari huko kama alivyofanya kwa Milner
Klopp ishu kama hizi hua hana muda nazo.Mane ameanza kuwa mzembe kizuri zaidi jota anafanya powa anapopata namba sasa yeye hata kama anazingua anataka aendelee kucheza tu