Leicester city hatashiriki CLTuende pole pole
Next match upo na man utd ,matokeo yake nadhan unajua ...
Lecister kakuzid point 6 ,unatakiwa kushinda match 3 ,yeye apoteze match 3 ...
Liverpool ya sasa kushinda match 3 na team ambazo zinapigania kushuka daraja ,majibu unajua ..
TableView attachment 1778383
Chelsea kutufunga Mara mbili mfululizo inawezakuwa faida kwao au kwetu may 29 final CL ...
Hapa sitakuwa na maneno mengi ila final kila kitu kitaonekana mkuu..
Rangers coach anatufaa?[emoji44][emoji44][emoji44] kwamba he is irreplaceable sio?
Muoneni yuleee..Rangers coach anatufaa?
[emoji85][emoji85][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
YNWA
Rangers coach anatufaa?
[emoji85][emoji85][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
YNWA
😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝Muoneni yuleee..View attachment 1779794
Never, sitamani aje pale, bora aendelee kuwa legendRangers coach anatufaa?
[emoji85][emoji85][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
YNWA
Kwa sasa ulegend unamtosha abakie Rangers ndio saizi yake nina imani na Klopp ataturudisha pazuri.Never, sitamani aje pale, bora aendelee kuwa legend
Really, timu itarejea tu na tutarudi kwenye furaha yetu ya siku zoteKwa sasa ulegend unamtosha abakie Rangers ndio saizi yake nina imani na Klopp ataturudisha pazuri.
YNWA
Jipangeni kwa Europa mkuuHatimae twaachia ubingwa wetu wa EPL.
Pain killer hongereni sana kwa ubingwa wa EPL 2020 - 2021.
Msibweteke sana twaja.
YNWA
Kwa namna mambo yanavyokwenda kwa baadhi ya target naona tunarejea.Really, timu itarejea tu na tutarudi kwenye furaha yetu ya siku zote
Duuh maisha yanakwenda kasi sana.Jipangeni kwa Europa mkuu
Mm naona aendelee kuwepo tu naamini bado ni msaada kwa sehemu fulani kwa timu, hii ya kuuza uza wachezaji wakati sisi huwa tunaishia kusajili kwa tetesi tu hivyo na hatusajili imaetugharimu sana msimu huu, tulimtoa Lovren matokeo yake mabeki wote pacha tukaanza kuaangaika na akina Henderson kuwa mabeki mwisho tukawa njia kila timu inajipigia tuKwa namna mambo yanavyokwenda kwa baadhi ya target naona tunarejea.
Nimesoma Kanote muda wowote anasaini.
Nimesoma Yves ameomba timu yake imhruhusu aodoke Juni 2021.
Muda utasema.
Japo nimesoma Gini anampango wa kusaini eti miaka 2 lol huyu kwa kweli aodoke huko Barcelona kunamtosha.
YNWA
Ole kaamua kuwapania ..Hatimae twaachia ubingwa wetu wa EPL.
Pain killer hongereni sana kwa ubingwa wa EPL 2020 - 2021.
Msibweteke sana twaja.
YNWA
Ole kaamua kuwapania ..
Kaweka madogo Leo ili game yenu mpasuane vizuri ...
Yaaan anawapeleka rasmi Europa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]