Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Klopp amesema wachezaji wengine wamekua ni wahanga wa circumstances hivyo ana imani msimu mpya akiwa na kikosi kamili watakua msaada kwake.At the Club, we have Jones, Ben Woodburn, Rhys, Harvey Elliot, Neco, Billy K.........
at this rate, tusishangae hata hao vijana nao wanapotea,....... maana so far naona Jk keshaanza kumpiga bench Jones mazima mazima in favour of Milner,
maana ukijaribu kulinganisha club zingine (chelsea, arsenal, utd) unaona wenzetu atleast kuna vijana wanatembea nao.....
could it be Klop is overrated kwenye eneo la kuwakuza vijana? forget about TAA for a moment!
Usife moyo ndugu.Hata tununue vp, hatuwezi tena, kufikia kiwango cha misimu miwili iliyopita. Tumejiweka kwenye mazingira magumu kwenye usajili unaokuja.
Sioni ni kwa namna gani tutaweza kuingia top 4. Kwa hali ilivyo, hata europa tunaweza kukosa. Sasa kwa mazingira haya unamshawishije mchezaji wa viwango vya kimataifa kuja kucheza carabao na FA?
City na Chelsea kwa sasa wanatimu nzuri, ndio wanakwenda kuwa washindani kwenye ubingwa wa premier league next season.
Sisi Kop, United, Arsenal na kina Spurs ni wasindikizaji. Huitaji miwani kuona hili. Liverpoll inahitaji kufanya marekebisho kwenye maeneo mengi.
Bobby, Ox, Milner, Origi, Shaq, wote hawa waingizwe sokoni.
Kwa zile game nilizoona city na chelsea walivyocheza nusu fainali ya ucl, tuna safari ndefu sana. Hata mpira tunaocheza kwa sasa hauvutii japo wakati mwingine tunapata matokea.
Wewe timu gani ikimkosa mchezaji tegemeo inakuwa utopolo?! Yani kuumia kwa VvD na Le Captain timu inakuwa utopolo namna hii. Ni kama ilivyo kwa Aston Villa. Kuumia kwa Grealish tu timu yote imepoteza balance. Klopp anakiburi kuliko kile cha Mou japo yeye anaonyesha kuwa na kauli za kistaarabu.
Wallah tunapitia kwenye kipindi kingine kigumu. Tujiandae kuwa sugu.
Huwezi shabikia man city kwa sababu unajua alichowafanya ...
Any way sisi kama city tunafocus kwenye game ,Tarehe 29 may tutapasuana na hao watu wa darajani kadri ya uwezo wetu ...
Kwa namna yeyote ile lazima Chelsea afe...
Klopp's effect.Usife moyo ndugu.
Tunaishi kupambana.
Tuna hali tete sana hilo lipo wazi.
Mwalimu ana kazi ngumu sana kwanza kuwabakisha wachezaji muhimu kikosini. Tayari timu kadhaa zinamnyemelea Salah ambazo ni PSG, Chelsea, Real Madrid, Bayern Munich sasa kama mfungaji wetu bora ana mpango wa kutimka na wenye timu anasema hawasemi chochote kuhusu ku renew mkataba ndio ujue tumevurugwa.
Sasa hili la kuvutia wachezaji wapya nalo inakua hivi aidha mchezaji awe na umri chini ya miaka 25 ambae ataamini project ya Klopp itakua inaanza upya hata bila UCL. Kama sio hivyo basi tutanunua wachezaji kwa bei ghali mno maana tunakua hatuna tena mvuto bila UCL case study Arsenal.
Kivyotevyote vile nina imani na Klopp kuturejesha kileleni msimu ujao.
Sasa la Wachezaji wa kuuzwo Klopp hua haeleweki nimesoma Sky eti Chamberlain ana mipango nae msimu ujao. Na Keita pia anasema future yake ipo Liverpool. Yaaani hapo ndio unajiuliza kama anaelewa hasara tunayopata kimapato kutoshiriki UCK hivyo hawa dead wood wanatikwa waodoke. Kama vipi atuletee vijana wetu walio nje kwa mkopo Wilson, Grujic, Taiwo, Liam Millar, Elliott hawa tuwaone ku supplement kikosi cha kwanza huku Edwards akiwa amenunua Beki mmoja, Winga Mmoja, na straika mmoja.
Damn tumefika aje hapa. From attacking the League to attacking Big Four.
YNWA
Pep ameshawahi kupoteza final moja tu...
Huyo TT sio level zake kabisa tukija kwenye final..
Klop katusaidia sana, ila ingefaa wampe mkono wa kwaheri........Usife moyo ndugu.
Tunaishi kupambana.
Tuna hali tete sana hilo lipo wazi.
Mwalimu ana kazi ngumu sana kwanza kuwabakisha wachezaji muhimu kikosini. Tayari timu kadhaa zinamnyemelea Salah ambazo ni PSG, Chelsea, Real Madrid, Bayern Munich sasa kama mfungaji wetu bora ana mpango wa kutimka na wenye timu anasema hawasemi chochote kuhusu ku renew mkataba ndio ujue tumevurugwa.
Sasa hili la kuvutia wachezaji wapya nalo inakua hivi aidha mchezaji awe na umri chini ya miaka 25 ambae ataamini project ya Klopp itakua inaanza upya hata bila UCL. Kama sio hivyo basi tutanunua wachezaji kwa bei ghali mno maana tunakua hatuna tena mvuto bila UCL case study Arsenal.
Kivyotevyote vile nina imani na Klopp kuturejesha kileleni msimu ujao.
Sasa la Wachezaji wa kuuzwo Klopp hua haeleweki nimesoma Sky eti Chamberlain ana mipango nae msimu ujao. Na Keita pia anasema future yake ipo Liverpool. Yaaani hapo ndio unajiuliza kama anaelewa hasara tunayopata kimapato kutoshiriki UCK hivyo hawa dead wood wanatikwa waodoke. Kama vipi atuletee vijana wetu walio nje kwa mkopo Wilson, Grujic, Taiwo, Liam Millar, Elliott hawa tuwaone ku supplement kikosi cha kwanza huku Edwards akiwa amenunua Beki mmoja, Winga Mmoja, na straika mmoja.
Damn tumefika aje hapa. From attacking the League to attacking Big Four.
YNWA
Hizi ni hopeless tu kuirudisha Liverpool Ile ya msimu uliopita kwa kutegemea wachezaji wale wale ambapo ukiangalia umri ushawatupa mkono na makombe yote muhimu washabeba ni ngumu Sana. Mpeni Tena Klopp misimu mitatu Tena kuijenga hii Liverpool..Usife moyo ndugu.
Tunaishi kupambana.
Tuna hali tete sana hilo lipo wazi.
Mwalimu ana kazi ngumu sana kwanza kuwabakisha wachezaji muhimu kikosini. Tayari timu kadhaa zinamnyemelea Salah ambazo ni PSG, Chelsea, Real Madrid, Bayern Munich sasa kama mfungaji wetu bora ana mpango wa kutimka na wenye timu anasema hawasemi chochote kuhusu ku renew mkataba ndio ujue tumevurugwa.
Sasa hili la kuvutia wachezaji wapya nalo inakua hivi aidha mchezaji awe na umri chini ya miaka 25 ambae ataamini project ya Klopp itakua inaanza upya hata bila UCL. Kama sio hivyo basi tutanunua wachezaji kwa bei ghali mno maana tunakua hatuna tena mvuto bila UCL case study Arsenal.
Kivyotevyote vile nina imani na Klopp kuturejesha kileleni msimu ujao.
Sasa la Wachezaji wa kuuzwo Klopp hua haeleweki nimesoma Sky eti Chamberlain ana mipango nae msimu ujao. Na Keita pia anasema future yake ipo Liverpool. Yaaani hapo ndio unajiuliza kama anaelewa hasara tunayopata kimapato kutoshiriki UCK hivyo hawa dead wood wanatikwa waodoke. Kama vipi atuletee vijana wetu walio nje kwa mkopo Wilson, Grujic, Taiwo, Liam Millar, Elliott hawa tuwaone ku supplement kikosi cha kwanza huku Edwards akiwa amenunua Beki mmoja, Winga Mmoja, na straika mmoja.
Damn tumefika aje hapa. From attacking the League to attacking Big Four.
YNWA
Huwezi shabikia man city kwa sababu unajua alichowafanya ...
Any way sisi kama city tunafocus kwenye game ,Tarehe 29 may tutapasuana na hao watu wa darajani kadri ya uwezo wetu ...
Kwa namna yeyote ile lazima Chelsea afe...
Kwenye Game ya Fainali ninaisapoti Chelsea ibebe Kombe. Sina sababu yoyote ya Msingi.
Chelsea kutufunga Mara mbili mfululizo inawezakuwa faida kwao au kwetu may 29 final CL ...Ndugu uwezo wa kumfunga Chelsea kwa sasa huna usijisumbue.
Kuna uwezekano sasa hata Europa hatuchezi.
YNWA