Sisi msimu ujao tunataka zile ribbons za kombe la EPL ziwe nyekudu tenaaaaaaaaaaa....
Europa hatuna ishu.
YNWA
Kuna wanaoangalia Mpira na Wanaokodolea macho TV.
Kwa bahati mbaya ni Wachache ndiyo wanaoangalia Mpira, Wengi wao huwa wanakodolea macho TV.
Hahaha all the best.Ha ha ha ha ha ha sawa mkuu. Karibu leo tuangalie kandanda safi kati ya Chelsea na Real Madrid🤪
Angalau hii gemu bado ipo.Liverpool’s Premier League fixture with Manchester United at Old Trafford has been rescheduled for Thursday May 13.
The game will kick off at 8.15pm BST and be broadcast live on Sky Sports.
Meanwhile, the Reds’ trip to Burnley will be contested on Wednesday May 19, also getting under way at 8.15pm and shown live on Sky Sports.
Hahaha yaaani hapo umefika fainali na bado hujanyanyua kwapa una fujo.Mods shushen huu uzi chini ..
Haiwezekan team inacheza Europa harafu bado Uzi wake umepigwa pini huku juu kwenye team za wababe wa CL ..
Hii timu haina tofauti na spurs kwa sasa shusha huu Uzi tafadhari ...
Hii sio hakii kabisa,..
Wana jf mnaonaje ,nasema uongo ndugu zanga ,msema kweli ni mpenzi wa Mungu .
Hahaha all the best.
Nipigieniiiii hao Madrid.
Fainali mkutani na kipara Pep.
YNWA
Sas unafikir mbabe wa UCL England ni nani???Mods shushen huu uzi chini ..
Haiwezekan team inacheza Europa harafu bado Uzi wake umepigwa pini huku juu kwenye team za wababe wa CL ..
Hii timu haina tofauti na spurs kwa sasa shusha huu Uzi tafadhari ...
Hii sio hakii kabisa,..
Wana jf mnaonaje ,nasema uongo ndugu zanga ,msema kweli ni mpenzi wa Mungu .
Wewe jiandae kucheza na kina Genk,Salzburg ,ndio level zako tu ...Sas unafikir mbabe wa UCL England ni nani???
Turudi kwenye current issues manshit ina UEFA?? EUROPA je??Wewe jiandae kucheza na kina Genk,Salzburg ,ndio level zako tu ...
Hiyo historia haikusaidii chochote we talk current issues
Wewe jiandae kucheza na kina Genk,Salzburg ,ndio level zako tu ...
Hiyo historia haikusaidii chochote we talk current issues
Kazi kwako ndugu.Tayari nimeshamnyoa kwa Niaba yenu. Manake ninyi mlishindwa kumnyoa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba mtaipiga MAN U? Nyinyi ndo vibonde wa msimu huu, kila team kubwa inawaza kupatia point kwenu.Angalau hii gemu bado ipo.
Tupambane uwanjani.
Tuna jambo letu pale Trafford.
YNWA
Liverpool mna machungu sana na City, ila kimsingi Pep ana asilimia kubwa sana za kuchukua EPL na UEFA kwa wakati mmoja.Kwenye Game ya Fainali ninaisapoti Chelsea ibebe Kombe. Sina sababu yoyote ya Msingi.
Vizuri umesema msimu huu. Angalau hali yetu inajulikana.Kwamba mtaipiga MAN U? Nyinyi ndo vibonde wa msimu huu, kila team kubwa inawaza kupatia point kwenu.