Lazima Alaumie sasa anaonaje makosa mechi ya kwanza hafu anayarudia mechi ijayo?
Guardiola atabaki juu yule ni mwalimu si msimamizi Starling mechi kadhaa hachezi na tim inasonga mbele na ndio Sala wao kule.
Njo kwa Klopp sasa amkose Sala ndo inakua kisingizio chake.
Foden keshakua Woldclass na ameazishwa huku tunamuona
LEAGUE ITABAKI KUA YA GUARDIOLA MPAKA AONDOKE.
Mkuu hiki unachosema hapa ni SAHIHI ASILIMIA 100 ndugu. Hili limesemwa na wana Kops wengi tangu Klopp ametua limekua likisemwa mara nyingi mpaka lakaleta makundi wengine wanajiita Halisi nk.
Iko hivi ili ku compete with the best unahitaji bench la kueleweka na sio benchi la Klopp pale Anfield.
Klopp ameshinda makombe yote yake kwa vile 1st 11 wake walikua kwenye ubora wao bila kuadhiriwa na majeruhi kama ilivyo sasa.
Wale 1st 11 wake sio robot they are fresh and blood hivyo wear and tear have catch up now ndio maana unaona Mane na Firmino combined magoli 15 EPL hawana. Tazama pia assist za TAA na Robbo zimepungua sana hivyo wamechoka wako hoi kucheza last 3 seasons bila kupata muda wa kupumzika na ukumbuke Klopp ni muumini wa high intensity football hivyo wachezaji kucheza kama Unit lazima working very hard.
Sasa kwa Pep kila nafasi ina wachezaji wawili na wote moto na wengine ni multi purpose players ambao wanacheza nafasi zaidi ya moja kwa mfano Rodri, KDB, Gundogan nk..
Hivyo kwa upana wa kikosi Pep will conquer and conquer na hilo mwenyewe alisema Mansour riches enables them to get the best talent to supplement the squad.
Haya maneno Klopp sio muumini wa kikosi kipana yamejadiliwa sana humo na yeye mwenyewe likamshuka January 2021 akijitoa ufahamu na kusema maamuzi ya kununua wachezaji sio yeye mwenye say ya mwisho alisema yeye anawapelekea majina kazi inaishia hapo angalau kuropoka kule kulimsaidia akaletewa Kabak na Davies.
Muda utasema ndugu kama kweli FSG wapo serious na kumpa sapoti mwalimu kwa kikosi kipana sio hii bench ya sasa kituko.
Tazama benchi ya Manchester City Fernandidho, Silva, Mahrez, Ake, Stones, Mendy, Aguero nk yaani baadhi ya hao wangekua Liverpool ni 1st 11 😂😂😂.
Sasa tazama benchi la Liverpool tuna Milner, Jones, Origi, Rhys, Ox, Keita, Tsimikas, Phillips, Shaqiri nk yaani hao kwa one game magic wanakupa raha aafu wanapotea msimu mzimaaaa hawaonekani tena aiming for the course.
We need quality over Quantity.
YNWA