Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Kweli aisee nakumbuka bald baddest Fabby alivyosugua benchi huku mtoto pendwa Gini na Hendo wakipata dakika za kutosha mpaka pale alivyoumia Hendo na VVD kushindwa cheza ile gemu ya Bavarians ndio tukamjua kwamba Fabby ni jembe and the rest is history.Kwa kocha huyu usitegemee hao kama watapangwa labda hao aliokariri waumwe
Yaaani wamekua hovyooo mpaka aibu kwamba ndio walikua wanatajwa kama the most feared Fab 3 lol sasa hawaogepeki tena.Pale mbele hakuna anaefunga zaidi ya Salah ha ha haaa Mane mpaka anatia huruma kwa kukosa Boby kajikatia tamaa imehamia kwa Jota nae hatariii
Hivi alishapona?Hivi yule jamaa Ben Davies aliyesajiliwa January mpaka anatia huruma hata kuwepo benchi tu awekwi
Hivi alishapona?
Huyu ni usajili design ya Solanke. Buy cheap develop sell for a margin. Or maybe tuwe a bit patient atakuja kivingine new season.
YNWA
Na hawa ndio wametutoa CL..Pale mbele hakuna anaefunga zaidi ya Salah ha ha haaa Mane mpaka anatia huruma kwa kukosa Boby kajikatia tamaa imehamia kwa Jota nae hatariii
Duuh bora angekwenda zake Celtic huko pengine angecheza.Jamaa alishapona ila inaonekana kwenye pecking order yupo below ya Rhys Williams ndo maana hata bench atumuoni
Gossip Watch
Real Madrid are reportedly interested in signing Fabinho from Liverpool in the summer transfer window.
According to a report by Spanish outlet El Gol Digital, Fabinho has popped up on the radar of Real Madrid over a move in the summer transfer window. The Liverpool superstar is being eyed as a possible replacement for Raphael Varane, who is tipped to leave Los Blancos ahead of 2021/22.
Tangu huyu dogo atue Anfield hawa Madrid wamekua kila dirisha wanatazama namna ya kumsajili. Liverpool mara zote wamekomaa hauzwi.
YNWA
Hapana inakua kama multi purpose signing kwao.Kwahiyo wanamtaka akacheze beki sio midfield. Yeye mwenyewe amesema hainjoy kucheza beki na Mara nyingi akicheza nyuma tunapata bad results msimuu huu
Klopp bado yupo sana aisee.Mpaka hapa tulipo Klopp anajua zaidi
Ataishusha hii tim huyu hana ubunifu kwenye shida hata iweje hatukutakiwa kua nafasi hii mbinu zimetuangushaKlopp bado yupo sana aisee.
Bayern wameshindwa kwa mara nyingine kumshawishi atukimbie.
YNWA
Itakua wamesoma upepo wakabadili gia angani niaminiKlopp bado yupo sana aisee.
Bayern wameshindwa kwa mara nyingine kumshawishi atukimbie.
YNWA
Mkuu mwaka huu tunatafuta Europa kweli ?Ataishusha hii tim huyu hana ubunifu kwenye shida hata iweje hatukutakiwa kua nafasi hii mbinu zimetuangusha
At this point Klopp akiondoka LFC mi nina amani tu nitamtakia safari njema aendako kwa kweliKwa kocha huyu usitegemee hao kama watapangwa labda hao aliokariri waumwe
Baada ya ESL na kuona passion ya mashabiki ilivyo amesema imempa moyo wa kuzidi kupambana na haodoki yumo sana.Ataishusha hii tim huyu hana ubunifu kwenye shida hata iweje hatukutakiwa kua nafasi hii mbinu zimetuangusha