Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Brighton na west brom tu mmewashindwa hao Madrid mnawafungaje sasa
 
CL amechukua hadi astonvilla ila angalia alipo ,acha kuishi kihistoria kwenye maisha ya sasa ...

Liverpool ya sasa haina tofauti na singida united ,kwasababu hata simba anaweza kumpiga goli za kutosha hapo hapo an field
Wanaume ni waliochukuwa Champions League wewe hutambuliki ulaya eti unajilinganisha na Bayern, Madrid kwa lipi sasa
 
Wakitajwa wanaume wa ulaya wewe haupo
CL amechukua hadi astonvilla ila angalia alipo ,acha kuishi kihistoria kwenye maisha ya sasa ...

Liverpool ya sasa haina tofauti na singida united ,kwasababu hata simba anaweza kumpiga goli za kutosha hapo hapo an field
 
Wakitajwa wanaume wa ulaya wewe haupo
Super league ndio mfano Wa wanaume balani ulaya ..

ila Liverpool, arsenal na spurs kama super league ingekubaliwa mngekimbia wenyewe kwenye mashindano ..

Mngekula misumari ya kutosha kila match ...

Kiufupi nyie mlikuwa underdog super league
 
Uefa ndo inatambulika wewe hiyo super league ndo upuuzi gani? na safari yenu imewadia kwa Mmbape hamchomoki Pep atabaki kukuna upara tu

Ufaransa wana Center backs wakutosha.

Lenglet
Varane
Upemecano
Konate
Kounde
Umtiti
Laporte
Zouma
Kimpembe
 
Ufaransa wana Center backs wakutosha.

Lenglet
Varane
Upemecano
Konate
Kounde
Umtiti
Laporte
Zouma
Kimpembe
Kweli kabisa jamaa hio idara wamejaliwa vipaji haswa aafu wengi vijana ambao wana miaka mingi tu ya kucheza.

Huyu Kounde sioni akitua kwetu maana hio bei ya Β£50m nina wasi wasi haipo kwa vile tayari fununu zinasena Kanote ameshatua hivyo sasa wawekeze nguvu pale mbele namba 9 wa ukweli haya mambo ya false 9 yameshatu cost mno msimu huu.

YNWA
 
Uefa ndo inatambulika wewe hiyo super league ndo upuuzi gani? na safari yenu imewadia kwa Mmbape hamchomoki Pep atabaki kukuna upara tu
Yaaani Pep na waarabu wake waliona wajaribu sasa kuisaka Champions League ki vingine kwa kucheza ligi ndani ya mfumo mpya wa ESL wangeipata na hata wakiikosa wanapiga ela. Duuh bora ilivyopigwa chini hatutaki short cut za kupata makombe na kupiga ela ndefuuu.

In simple you have to earn Champions League glory just like the way Ajax, Porto, Aston Villa nk has earned its.

YNWA
 
Brighton na west brom tu mmewashindwa hao Madrid mnawafungaje sasa

Atlentico Madrid alikufunga mara mbili Uefa. Sisi tumemfunga mara mbili bado huamini Chelsea tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Au kisa Madrid kakutoa Robo fainali unazani atamtoa na Chelsea?πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Nawatakia ushindi ndugu.

YNWA
 
Transfer Watch.

Liverpool are reportedly in pole position to seal the transfer of PSV striker Donyell Malen, according to Voetbal Internacional, as translated by Empire of the Kop.

The 22-year-old has impressed in his time in the Eredivisie, despite previously failing to make it at Arsenal as a youngster.

YNWA
 
Kwa kocha huyu usitegemee hao kama watapangwa labda hao aliokariri waumwe
 
Athletico mlimfunga gemu ya kwanza kwasababu hakucheza gemu uwanja wake na mechi ya pili nyie mlicheza Stamford bridge kwahiyo mlikuwa na advantage
Atlentico Madrid alikufunga mara mbili Uefa. Sisi tumemfunga mara mbili bado huamini Chelsea tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Au kisa Madrid kakutoa Robo fainali unazani atamtoa na Chelsea?[emoji2957][emoji2957]
 
Athletico mlimfunga gemu ya kwanza kwasababu hakucheza gemu uwanja wake na mechi ya pili nyie mlicheza Stamford bridge kwahiyo mlikuwa na advantage

Hizi ni Sababu mfu kabisa. Hazina mashiko kabisa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…