dembele si ni keita mwingine jamani?Kama ambavyo Kocha mwenye akili timamu alimuuza Coutinho akiwa moto kweli kweli ndio hivyo hivyo na sasa Salah atauzwa. Na pengine kwa kutazama pesa ya Coutinho ilivyotumika vyema kuimarisha kikosi basi naamini na hii ya Salah itakua vile vile ndugu.
Zipo tetesi tena kwamba anaeuzwa ni Mane na tayari Klopp kashaamua kwenda Barcelona kumchukua Dembele kama like for like replacement.
Muda utasema.
YNWA
Bwana wee dogo ana shinda sana kwanza attitude yake hua mtihani sana aisee.dembele si ni keita mwingine jamani?
Vipi tunaweza kupata huduma may hii au ngoma bado sana
Kroenke anaona njia pekee ya arsenal kucompete na big clubs ni kufanikisha mpango wa super league sinc ucl kushiriki kwao ni mtihani[emoji38][emoji38]European Super League.
Kimenuka majuu baada ya mpango wa kuanzisha Uefa Mpya ya vilabu kuleta sintofahamu. Gary Neville anasema vilabu vyote vinavyosapoti huo mpango vikatwe pointi na faini juu. Mpango huo wa ligi mpya hauna baraka za Fifa, Uefa, EPL, La Liga, BL Ujeremani, Serie A, Ligue One nk.
Ni kama ifuatavyo.
Real Madrid president Florentino Perez will reportedly be chairman of the league.
Joel Glazer, John W. Henry and Stan Kroenke - the owners of United, Liverpool and Arsenal - are set to be vice-chairmen.
Manchester United, as well as local rivals Manchester City, reigning Premier League champions Liverpool and London trio Chelsea, Arsenal and Tottenham have all agreed to the new proposal.
Real Madrid , Barcelona and Atletico Madrid are the three Spanish clubs who have agreed to the proposal.
Juventus, AC Milan and Inter Milan make up the 12 clubs who are involved so far.
The statement reads: "UEFA, the English Football Association and the Premier League, the Royal Spanish Football Federation (RFEF) and LaLiga, and the Italian Football Federation (FIGC) and Lega Serie A have learned that a few English, Spanish and Italian clubs may be planning to announce their creation of a closed, so-called Super League.
"If this were to happen, we wish to reiterate that we – UEFA, the English FA, RFEF, FIGC, the Premier League, LaLiga, Lega Serie A, but also FIFA and all our member associations - will remain united in our efforts to stop this cynical project, a project that is founded on the self-interest of a few clubs at a time when society needs solidarity more than ever.
"We will consider all measures available to us, at all levels, both judicial and sporting in order to prevent this happening. Football is based on open competitions and sporting merit; it cannot be any other way.
"As previously announced by FIFA and the six Federations, the clubs concerned will be banned from playing in any other competition at domestic, European or world level, and their players could be denied the opportunity to represent their national teams.
"We thank those clubs in other countries, especially the French and German clubs, who have refused to sign up to this. We call on all lovers of football, supporters and politicians, to join us in fighting against such a project if it were to be announced. This persistent self-interest of a few has been going on for too long. Enough is enough."
Hawa FSG na Glazer family kweli wapo kipesa zaidi yaaani hawana muda wa kuchelewa. Hii dili ni la $6billion has been committed to this new project by the American bank JP Morgan.
Ngoja tusubiri tuone mamboa yatakavyojiri.
YNWA
Hahahaha nyie kuku laleni mabandani huko ..wewe umeshatoka UEFA huna unatafuta sa hii kwa hiyo ni muda wa kukaa bandani usije liwa na kicheche hehehe[emoji1][emoji1] kwa iyo wanaume tukiwa kwenye mapambano huwa hatupangiwi Cha kufanya ..sisi tunatimiza majukumu yetu mkuu ..kuhusu top four Hilo suala tumuachie Thomas Tuchel, kuhusu kubeba UEFA Hilo suala tumuachie Tuchel Thomas, angalia tuna uhakika na FA sasa. Nani hayiogopi Chelsea?? Sisi ni mwendo wa kugawa dozi tu ..aje sijui nani ni dozi tu ..angalia kesho kutwa kitu tunamfanya Madirid (msela amekupiga Mara mbili na umebaki kulia Lia tu[emoji23][emoji1787][emoji1787])Without doubt, Pain killer na Ollachuga Oc ni wazaramo wa msanga. Maana wanakelele kama shwaigne waliona ndoo ya makombo. Sio kwa kelele hizo. Kwa taarifa zenu, top 4 chelsea ndio yupo kwenye wakati mgumu kuliko liverpool, westham united na leicester city. Ukiangali game zilizobaki mna game ngumu kuliko hao niliowataja.
Ombeni mpate kikombe cha ucl, la sivyo mnadondokea futuhi. Mkisoma hii post mnaweza kuona kama nimevuta, ila mpo kwenye hatari kubwa ya kukosa top 4 kuliko liverpool.
Hili jamaa kwa muonekano atakuwa amefoji umri, anaonekana Ana miaka 32 hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe umeshaona huna pa kutokea una Anza kupiga ramli mapema, unaikataa Hadi timu yako Man Shit[emoji23][emoji23][emoji23]Psg anatangazwa kuwa bingwa uefa ..
Soon
Mkuu ni mkwaja tu hamna kingine. Sheria zipo wazi kwamba timu yoyote inayotaka kushiriki mashindano mengine tofauti na yanayotambulika na EPL lazima wawashilishe barua ya maombi ya waruhisiwe kushiriki sasa EPL/FA hawajatoa baraka zao kwenye hii Super Ligi Mpya hata serikali ya UK imewagomea.Kroenke anaona njia pekee ya arsenal kucompete na big clubs ni kufanikisha mpango wa super league sinc ucl kushiriki kwao ni mtihani[emoji38][emoji38]
Btw, hii kitu sioni kama itafanikiwa, vyama vya soka katika nchi husika na board zao za league naona wamewakazia from clubs to players watakaoshiriki
Sidhani kama kuna mchezaji yuko tayar kushiriki only super league katika career yake ya soka
Mkuu sio 400m.kwa hizi timu ambao ndio founding members ambazo zipo 12 wao watapata directly usd3 billions.Liverpool owners ni Americans
Manu owners ni Americans..
Very greedy Americans....nahisi washahonga Hadi FIFA ....superligue utakuja Tu hata kama mwakani ....400milion Kwa kila timu sio mchezo
Acha umbumbu wewe chelsea mmepigwa ban ...Wewe umeshaona huna pa kutokea una Anza kupiga ramli mapema, unaikataa Hadi timu yako Man Shit[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ni wakati wa UEFA kutua London ya kaskazini mkuu.
Wewe huyiogopi Chelsea??
next season natamani kuona Elliot, Sep V, Billy K wakijumuika na R Williams, Jones, kuwa intergrated kwenye kikosi , huku origi, milner, matip, Gini, Ox wakiondoshwa!Tulisaini Watoto wengi tu tukaambiwa Edwards ni Genius anatengeneza Future Team, sasa ndiyo msimu ujao tuanze kuwaona sio kusifia ugenius tu.
You will never win any trophy with kids. Hao bado wanahitaji muda zaidi wapelekwe Championship mkopo wapate dakika zaidi kupata uzoefu wa kutosha EPL ndugu hakuna trials.next season natamani kuona Elliot, Sep V, Billy K wakijumuika na R Williams, Jones, kuwa intergrated kwenye kikosi , huku origi, milner, matip, Gini, Ox wakiondoshwa!
btw why klop hamrate sana Marko G?