Especially Milner aliwabana vizuri Modric & Kroos, alipotoka Milner na kroos akapumzishwa.Mkuu mbona kama defence na MF walicheza vyema huku front 3 wakiwa hovyo kabisa. Gemu ya mtoano huhitaji kupata nafasi nyingi mbali ni zile chache unazopata ufunge na sio kingine. Na jana vijana wetu waliacha shooting boots nyumbani.
Pamoja na yote kipa wa R. Madrid alistahili MOTM jana maana alikua mahala sahihi wakati sahihi.
Washambuliaji nafasi walipata nafasi murwa sana lakini waliishia kujishika kichwani. Pathetic.
YNWA
Hata mlikuwa mnajua Liverpool inaenda nusu fainali.Fainali tunajua ni PSG Vs Real Madrid
Klopp mwenyewe amekiri sub zake jana hazikuleta alichotarajia.Especially Milner aliwabana vizuri Modric & Kroos, alipotoka Milner na kroos akapumzishwa.
Credit to Madrid they were everywhere in the box to defend deep.
Definitely Nats asahau ile safari yake ya America atulie kwanza hapa hapa tuna kazi nae.We will boss.
But klopp sometimes dah.! Yule Shaqiri ujue ni mtu sana basi tu.
Akili yangu inanituma TAA apelekwe mid his natural role. Nimemuona vyema kwenye line up ni RB kucheza hasa kushambulia unaweza kusema ni AMF he tries to cross, to penetrate long balls, to shot where it due.
Nafikiri ameimprove baada ya kupoteza kiwango kwa kipindi kirefu. Yeye na faby nawaona wapo njema.
I wish to see VVD & PHILLIPS partnering next season . Phillips one of my top top performer in last 6-7 games solid in air win high balls (aerial duals), he has confidence, he is a good passer, good ball controller.
Tusubiri tuone signings tu ndio tuanze kusema.
Kwa sasa our eyes to CL.
We shall see maana hapa sell to buy ni 50/50 iclick au ituunguze.Gossip Mill.
Salah most likely ndio atatolewa kafara kutua PSG. Liverpool wanatarajia kumuuza Β£100m. Mauzo hayo yatasaidia klabu kuwekeza kwa wachezaji wanaohitajika kuimarisha kikosi. Fununu zinasema ni AM, Forward, Winger, CB mmoja.
Kazi ipo.
YNWA
Kabla ya hapo Ile 'Road to Instanbul' 'mara Instanbul kiwanja Cha nyumbani' kisa 2005 mlibebea kombe pale.Fainali tunajua ni PSG Vs Real Madrid
Hizi kuku makombe yao huwa ni EPL na UEFA saiv UEFA hawapo Tena hivyo wamebaki na EPL tu ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii timu kwa sasa kombe lake ni kuingia top four [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpira unamaajabu ...
Hawa jamaa december mwaka jana walikuwa wanaongoza legue na kuamini wanaenda kuchukua epl ....
Oooooh my God.....
Hizi kuku
Out CL
Out Europa
Out fa
Out carabao
Out top four ...
Lazima mkavute bangi akili ikae sawa...
Hawana uwezo hata kama man city akipoteza game zote zilizobaki ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila bado wanauwezo wa kuchukua EPL
Bora ukameze pain killer maana we n bonge moja kilaza.. December ipi hiyo liver alikua anongoza ligi? Hahhahahahah kweli wewe chiziHii timu kwa sasa kombe lake ni kuingia top four [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpira unamaajabu ...
Hawa jamaa december mwaka jana walikuwa wanaongoza legue na kuamini wanaenda kuchukua epl ....
Oooooh my God.....
Hizi kuku
Kama ambavyo Kocha mwenye akili timamu alimuuza Coutinho akiwa moto kweli kweli ndio hivyo hivyo na sasa Salah atauzwa. Na pengine kwa kutazama pesa ya Coutinho ilivyotumika vyema kuimarisha kikosi basi naamini na hii ya Salah itakua vile vile ndugu."Sell to Buy" Hivi umuuze Origi au Xhaqiri upate pesa ya kumnunua Mchezaji wa maana? Kweli?
Ni kwamba tunauza Magarasa kwa kununua Magarasa.
Ili tununue Mchezaji wa Maana ni lazima tuuze Mchezaji wa Maana kama ilivyokuwa kwa kumuuza Coutinho.
Nikiangalia kwenye Timu yetu Mchezaji pekee atakayetupatia hela ya maana tutakapomuuza ni Salah, sasa FSG watalazimika kumuuza Salah ili wajenge Timu, but kweli Kocha mwenye akili Timamu anaweza kumuuza Salah?????
Angalieni msije mkajuta wenyeweSuper comeback ..
Sisi tuliwataka buyern but huyu PSG kajipendekeza atajuta kukutana na city ...
Hawa akina Dembele siwana vilaka chungu nzima? Walahi tutaumbuka sisi yaan kununua majeruh wakila sikuKama ambavyo Kocha mwenye akili timamu alimuuza Coutinho akiwa moto kweli kweli ndio hivyo hivyo na sasa Salah atauzwa. Na pengine kwa kutazama pesa ya Coutinho ilivyotumika vyema kuimarisha kikosi basi naamini na hii ya Salah itakua vile vile ndugu.
Zipo tetesi tena kwamba anaeuzwa ni Mane na tayari Klopp kashaamua kwenda Barcelona kumchukua Dembele kama like for like replacement.
Muda utasema.
YNWA
Tunaomba ibakie tetesi tuKama ambavyo Kocha mwenye akili timamu alimuuza Coutinho akiwa moto kweli kweli ndio hivyo hivyo na sasa Salah atauzwa. Na pengine kwa kutazama pesa ya Coutinho ilivyotumika vyema kuimarisha kikosi basi naamini na hii ya Salah itakua vile vile ndugu.
Zipo tetesi tena kwamba anaeuzwa ni Mane na tayari Klopp kashaamua kwenda Barcelona kumchukua Dembele kama like for like replacement.
Muda utasema.
YNWA
Bwana wee dogo Dembele msimu huu ameamka aisee na yupo moto sana mpaka sasa ana magoli 28. Nadhani Klopp wanaangalia form yake ya sasa ilivyo moto pengine ndio inawapeleka kuona anafaa kuchukua nafasi ya Mane.Hawa akina Dembele siwana vilaka chungu nzima? Walahi tutaumbuka sisi yaan kununua majeruh wakila siku
Muda utasema Mkuu Bengalisis.Tunaomba ibakie tetesi tu