King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,467
- 7,467
Hivi kuna article yeyote kuhusiana na injury za mwaka huu hasa Kwa Liverpool?
Kuna alieandika deep kutafuta sababu ya hizi injury?..labda aina ya mazoezi?
Kuna mwenye link ya article kama zipo?
Nazungumzia za waandishi wa mpira wa kimataifa
kocha wetu bado mchanga na uzuri amekiri lawama zimuendee yeye,Liverpool kipindi cha Wenger mlikuwa hamtupi tabu kabisa ila toka kaja klopp mmekuwa mnatufunga sana.
Sahihi kabisa MosDef hayupo biased na Uingereza wala nini. Yupo balanced.Search kwa MosDef alishaelezea tayari.
Ninachoamini ni kuwa MosDef linapokuja suala la Mpira ni bora zaidi kuliko hao wa Kimataifa au Mchambuzi yoyote Tanzania hii.
Kwa siku ninapitia Platforms nyingi zenye Articles za Wachambuzi Nguli wakiwepo retired football Legends lakini wengi wao MosDef amewaacha mbali sana.
Nyie Liverpool hamko serious kabisa. Angalieni tusije kutana UEFA maana mtashaaa.. ni kipigo kwa kwenda mbele
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Gossip Transfer.
Michael Olise playing now at Reading. Ana umri wa miaka 19. Anacheza namba 10 vyema tu ama forward. Bei yake ni £12m.
Donyell Molen anacheza forward. Ni mchezaji wa PSV. Ana miaka 22. Release Clause yake ni £43m.
Ousmane Dembele ni mchezaji wa Barcelona. Ana miaka 23. Ni speedy winger can shoot with both legs. Mkataba wake unaisha 2022. Bei yake itakua zaidi ya £80m.
YNWA
Search kwa MosDef alishaelezea tayari.
Ninachoamini ni kuwa MosDef linapokuja suala la Mpira ni bora zaidi kuliko hao wa Kimataifa au Mchambuzi yoyote Tanzania hii.
Kwa siku ninapitia Platforms nyingi zenye Articles za Wachambuzi Nguli wakiwepo retired football Legends lakini wengi wao MosDef amewaacha mbali sana.
Am still not impressed, bro. He's one of our weak link to our forwardline.Firmino is back full of goodies haha.
Today at least he reminded us of his work rate minus the goals..
YNWA
You are right. But not the same level from LFC's perspective - the standards have dwindled and if we need to rebuild (which we MUST), we have to cash on him now while he's still an asset... otherwise his value is likely to nosedive sooner than we know it (his contract is only 2 seasons away and he could go for a cheap/free if we're not going to be proactive).The stat which defines Liverpool stand on players favour Salah more than Jota and Mane.
YNWA
Ni injury prone ana tatizo pia la attitude mazoezini.Dembele ni injury prune
Firmino since project restart has dwindled just like most of the boys but his loss of form is evidently high as no assit or goals like before even his work rate has come down big time. Well we did sum this up by mentioning how the boys has played for the last 4 seasons without major break as we lack a commendable bench to support the 1st 11 guys. I mean Origi hasn't stepped up properly when the occasion has come.Am still not impressed, bro. He's one of our weak link to our forwardline.
Bobby is a freaking CF... he needs to reinvent himself so that he makes the right choices while in front of the goal.
That team needs goals, bro, and in the league we seem to be having none of that without Jota on the pitch!
As the club policy every player has a price and if the right offer comes and the player is willing to depart then he will be sold.You are right. But not the same level from LFC's perspective - the standards have dwindled and if we need to rebuild (which we MUST), we have to cash on him now while he's still an asset... otherwise his value is likely to nosedive sooner than we know it (his contract is only 2 seasons away and he could go for a cheap/free if we're not going to be proactive).
Testimony is that in our recent league mini-revival, it has to be Jota giving us the points.
My point is... let's rebuild our strikeforce around Jota now while using the relatively aging Salah as a decoy to get the $$ which can be invested in the rebuilding.
Matip anaondokaKabak yuko kwa mkopo. June anarudi Germany. Tunabaki na yule Davis tuliyemnunua championship. Ofcoz Williams ataenda mkopo akapate uzoefu.
Watabaki. Matip gomez Philips na Davis. Au kama aakitaka kununua mwingine
Allison Arnold kabak Nat Robertson fabinho,wijnaldum,keita salah jota maneLineup ipoje huko