Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
The stat which defines Liverpool stand on players favour Salah more than Jota and Mane.If Barca and/or Real come for either or both of Salah / Firmino, I would cash on them. That spark, that mojo.... it's vividly missing this season.
Rebuild the attack around Jota and Mane!
Amka wewe kumekuchaLiverpool eeeh, ni dhahiri sisi Gunners mechi ya April 3 tutawaadhibu vikali, naamini pia hamuwezi pata matokeo mazuri kule Bernabau, ndio ukubwa huo.Nani hayaogopi majogoo [emoji16][emoji16]
Sijui hata tulicheza nini, yaani hata Fulham alicheza vizuri mara mia ya ArsenalAmka wewe kumekucha
Jana ndugu ki ukweli nilishanga kuona Liverpool wanacheza vile yaani hatukuwapa muda wa kutulia mpange mashambulizi ilikua press baada ya press.Sijui hata tulicheza nini, yaani hata Fulham alicheza vizuri mara mia ya Arsenal
Sijui hata tulicheza nini, yaani hata Fulham alicheza vizuri mara mia ya Arsenal
Washabiki wanaanza kurudi mdogo mdogo
Kipindi kile. Klopp uoga ulimzidi. Kuwachezesha faby na Hendo mabeki ilikuwa ni Kosa kubwa Sana. Waamini hao hao madogo hizo ndio sehemu zao kiasili. Ona Sasa philips jinsi alivyo jembe hata yule dogo William ni muda tu. Mpe nafasi utaona sukari yake. Sasa mido imetulia tuli. Mbele mwanangu dogo jota anatupa raha tu. Wamlete huyo Zidane tumfanye vibaya..... Maana haiwezekani fainali ifanyike home ground Instabul halafu tusiwepo
Well saidKitu pekee ninachoweza kusema ni kwamba akipona VVD, GOMEZ na MATIP basi KABAK na PHILLIPS watasugua Benchi na PHILLIPS huenda akauzwa au akatolewa kwa Mkopo.
Wakati maamuzi sahihi ni kwamba VVD acheze na KABAK huku GOMEZ na PHILLIPS wakibaki kama Backup, MATIP aruhusiwe aondoke ili kutoa room kwa PHILLIPS aandaliwe zaidi.
Rhys William atolewe kwa Mkopo Championship kwa msimu ujao, after hapo atolewe Mkopo Primier League au Bundes Liga kwa Timu ambayo atakuwa na uhakika wa kuche,a.
Kabak yuko kwa mkopo. June anarudi Germany. Tunabaki na yule Davis tuliyemnunua championship. Ofcoz Williams ataenda mkopo akapate uzoefu.Kitu pekee ninachoweza kusema ni kwamba akipona VVD, GOMEZ na MATIP basi KABAK na PHILLIPS watasugua Benchi na PHILLIPS huenda akauzwa au akatolewa kwa Mkopo.
Wakati maamuzi sahihi ni kwamba VVD acheze na KABAK huku GOMEZ na PHILLIPS wakibaki kama Backup, MATIP aruhusiwe aondoke ili kutoa room kwa PHILLIPS aandaliwe zaidi.
Rhys William atolewe kwa Mkopo Championship kwa msimu ujao, after hapo atolewe Mkopo Primier League au Bundes Liga kwa Timu ambayo atakuwa na uhakika wa kuche,a.
Kabak yuko kwa mkopo. June anarudi Germany. Tunabaki na yule Davis tuliyemnunua championship. Ofcoz Williams ataenda mkopo akapate uzoefu.
Watabaki. Matip gomez Philips na Davis. Au kama aakitaka kununua mwingine
kocha wetu bado mchanga na uzuri amekiri lawama zimuendee yeye,Liverpool kipindi cha Wenger mlikuwa hamtupi tabu kabisa ila toka kaja klopp mmekuwa mnatufunga sana.Mlizidiwa kila mbinu wala usishangae saana