atleast leo kuna stability, mpk najiuliza jk alikua haelewi kwamba stability ya defence inategemeana na mid?....Mtasonga mbele kwa matokeo ya nyuma mliopata lkn h timu ishakufa
Definitely our defense duties start with fully functional MF na leo kipindi cha kwanza i can say we played some cool footie...atleast leo kuna stability, mpk najiuliza jk alikua haelewi kwamba stability ya defence inategemeana na mid?....
hata thiago leo unaona kazi anayofanya
Sawa mkuuMtasonga mbele kwa matokeo ya nyuma mliopata lkn h timu ishakufa
Atletico Madrid atakukata kisimi, umezidi nyege mshindoLiverpool munategemea UEFA siyo? Huku nako mutaboronga tu. Sasa hivi ni mwendo wa kuwaombea njaa tu ..hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nani amekuambia hivyo mkuu, atakuwa amekudanganya uyo na wewe mutu muzima unadanganywa??Atletico Madrid atakukata kisimi, umezidi nyege mshindo
Una psychological disorder !Liverpool munategemea UEFA siyo? Huku nako mutaboronga tu. Sasa hivi ni mwendo wa kuwaombea njaa tu ..hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Jana
Juventus tayari out
Sevilla tayari out
Leo
Barcelona will be out
RB Leipzig will be out
Tulia wewe ..kaa kwa kutulia[emoji3][emoji3]Una psychological disorder !
Kumbe jana umecheza..hongera kwa ushindi ..shida ni Kwamba robo final hutavuka..[emoji41][emoji41]Shida ipo tukirudi EPL tumekuwa kama vipofu
Minor injury hata mech iliyopita pia hakuwepo kwa sababu hiyohiyo
kwa kikosi cha jana napata matumaini,sema Jk hatabirikiShida ipo tukirudi EPL tumekuwa kama vipofu
Imagine ingekua JK anawaacha mabeki wacheze kama mabeki huku Fabinho akiwa mzima acheze pale kati.kwa kikosi cha jana napata matumaini,sema Jk hatabiriki
Itategemea liver anakutana na nani, akipewa chelsea au porto anavuka vizuri tuKumbe jana umecheza..hongera kwa ushindi ..shida ni Kwamba robo final hutavuka..[emoji41][emoji41]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hamna uwezo wa kufunga Chelsea sasa hiviItategemea liver anakutana na nani, akipewa chelsea au porto anavuka vizuri tu