Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Haha tunajipoza sasa kwa wengine.. Maisha yanakwenda kasi sana.At least I can take a consolation on two outcomes this season. That:
1. Stevie G has clinched the SPL title after Rangers' 10-year drought
2. Manure are not going to get their 21st EPL title, so we have a chance to tie them on the 20th next season
Let's kick the shit out of those Yankees and get ourselves an Arab sheikh with bottomless pockets instead, and fast!
FSG out!!
Mlitaka afanye nini na average squad?
Mmeshacompete misimu mitatu with the same core bila kufanya reinforcements za maana , what did you expect ? Miracles ..!
Squard ya chelsea ili collapse hivi hivi bila wao kuifanyia adjustment baada ya wachezaji kama Drogba...Anelka..Terry..A. Cole...J.Cole...Bosingwa...Maluoda...Perreira...wote umri kuwatupa mkono wakati mmoja.Kama Mwalimu aliyesomea Ukocha alitakiwa alijue mapema hilo kuwa timu inatakiwa kufanyiwa adjustment kila mwaka ili kuepuka collapse ya squad kama hii.
Mapem sana kwa hyo kufungwa game 6 tu unahoji uwezo wake ukame wa miaka 33 leo game sita zinakutoa kumuamini klop camooon bro mpira hauko hivyo mabadiliko ya tabia ya inch mkuuu we hujui nzige wana randa randaKitu pekee ambacho sitoona haya kukihoji ni Uwezo wa Klopp kwa sasa! Hakuna cha kuficha jamaa ameishiwa mbinu na hajui afanye nini.
Hiyo rekod lazima ivunjike na kuwekwa mpya. Mechi bado nyingi sana lazima apigwe kama tatu hivi.View attachment 1719593
Oya wanangu, inabidi tuvunje h record ya huddersfield, tusiwe wazembe wazembe
Tusiwe wazembe kabisa kwenye shwala hiliHiyo rekod lazima ivunjike na kuwekwa mpya. Mechi bado nyingi sana lazima apigwe kama tatu hivi.
Squard ya chelsea ili collapse hivi hivi bila wao kuifanyia adjustment baada ya wachezaji kama Drogba...Anelka..Terry..A. Cole...J.Cole...Bosingwa...Maluoda...Perreira...wote umri kuwatupa mkono wakati mmoja.
Wewe umuue city?..weka betslip hapa tuoneMkuu leo mmenipatia pesa ya mboga kama 670k hivi ...niliwaua nikijua kabisa mtashinda lakini mkashindwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Manyumbu kule nako mambo mazuri...
Muhindi shaaaaaaaa....kalala mapema leo
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
nina maoni tofauti.......
kwangu la benitez lilikua bora sana, sana ila aliangushwa na matajiri kwa kiasi kikubwa!
some people will rate JK, but i think RB was the best all round,.......
mkuu kudefend tuna defend vizuri kwa mtazamo wangu (maana tumefungwa moja), vipi foward zetu!
btw hii game hata sijaangalia[emoji23]
Umepigwa wewe sio bure, Wewe Ollachuga Oc umuue City?? Never on earth.Mkuu leo mmenipatia pesa ya mboga kama 670k hivi ...niliwaua nikijua kabisa mtashinda lakini mkashindwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Manyumbu kule nako mambo mazuri...
Muhindi shaaaaaaaa....kalala mapema leo
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app