OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Hahaha Takumi yuko Soton sasa hayuko tena humu looserfoolsKazi kwa vijana leo kufanya kweli Darajani washa drop pointi sasa derby ni ushindi hakuna namna...
Thanks Taikumi.
YNWA
Takumi amewanyoooshaHahaha Takumi yuko Soton sasa hayuko tena humu looserfools
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nitabakije kwenye title race na kurogwa kote huku bana??Bado upo kwenye Title Race Mkuu.
Gori ngapi? au uelewi kilugha chetuYamepigwa
Mpaka sasa ndiye mchezaji mwenye workrate kubwa kuliko wote uwanjaniNampenda Thiago Aĺcantara lakini mpaka sasa sijaona kitu chochote cha maana alichotu offer kwenye timu hana tofauti na Wijnaldum.
Wamejikaza mwanaume kaja na nguvu kama zote keshatanua miguu tena uko...Ebu jikazeni mchomoe hilo bao