Salah Salah Salah nina imani atafunga 35+ goals kwa msimu huu.
Then utasikia auzweeeee
Aekwe benchiiiiiiiiiiii
Atolewe bureeeeeeee
Ukiangalia aekwe Benchi achezeshwe nani? Basi utakuta kumbe atakayecheza ni Origi!!
Origi huyu ambaye toka asajiliwe Liverpool magoli yake yote hajayafikia ya Msimu mmoja tu wa Salah.
Oooh!!!Tunafatilia kimya kimya, kufatilia kwa sauti tumewaachia nyie.
2012 sio 2005Refer chelsea nafikiri ni 2005 kwenye ligi ilikuwa nafasi ya 7 lakini ilikuja kuchukua uefa... Sema ukiwa unasuasua ni rahisi kuchukua uefa kuliko kuchukua ligi
Huna akili sasa hawa madogo tuliwapiga goli 5 bila mbna hujapost marudiano 3 kwa 2 ..subir marudiano
Oooh!!!
Lakini hiyo ni kinyume na mazoea/tabia yenu. Kops ni watu ambao wako "proud" na "roud" sana, hata wakiwa nje ya uwanja bado watataka timu pinzani itambue uwepo wao (refer game iliyopita dhidi ya Man City).
Zaha haha lol mzee wa dribbling...Hivi haiwezekani kumng'oa zaha pale palace?
Ila yule mzee wa city gundogan ni balaa
Cha ajabu ni kazi ya klopp ile katengeneza wenzie wanatumia dah
Captain Marvelous
premier league
- 2013/2014 = mechi 3, goli 0 ndani ya chelsea. Akiwa na miaka 21
- 2014/2015 = mechi 16 magoli 6 akiwa fiorentina.
- 2015/2016 = mechi 34, magoli 14 akiwa AS roma
- 2016/2017 = mechi 31, magoli 15 akiwa AS roma
- 2017/2018 = mechi 36, magoli 32 ndani ya liverpool, akiwa na miaka 25
- 2018/2019 =mechi 38, magoli 22 ndani ya liverpool
- 2019/2020 = mechi 34, magoli 19 ndani ya liverpool
- 2020/2021 = mechi 23, magoli 17..........................
takwimu za mechi zisitudanganye, cha umuhimu ni kuangalia mazingira ya ukuaji wao kisoka, kumfananisha mohamed salah huyu aliyekwisha pevuka kisoka dhidi ya ronaldo yule aliyekuwa akikimbia uwanjani na vichenga vyake uchwara kwa takribani misimu mitatu (kuanzia miaka 18 hadi 21) si jambo sahihi hata kidogo (sielewi ni kwa sababu gani hoja hii inapendwa sana kuletwa ndani ya hii thread, nafikiri ni mara ya nne kuishuhudia).Cristiano Ronaldo Al Nassr Forward, Profile & Stats | Premier League
View the player profile of Al Nassr Forward Cristiano Ronaldo, including stats and videos, on the official website of the Premier League.www.premierleague.com
Mapinduzi ya kisoka aliyoyaleta mohamed salah ndani ya liverpool nayaweka daraja moja na yale mapinduzi yalioongozwa na eric cantona.
Aache vijembe huyu kocha..
Kazi kwa vijana leo kufanya kweli Darajani washa drop pointi sasa derby ni ushindi hakuna namna...Minamino