Fergie the great hivyo vitimu vidogo ndio vilikua vinampa ubingwa ndugu na sio kuwachapa timu kubwa hata sisi msimu uliopita vitimu vidogo tulivipiga mno mzunguko wa kwanza unaisha vilikua vinaomba po...
Mechi 6 zilizopita Manchester City kacheza na hivyo vitimu vidogo na kujikusanyia pointi 18 ndugu..
Tazama sisi haraka haraka tumekosa pointi 6 muhimu kwa Burnley na Seagulls...
Manchester City kupoteza mechi 3 na sisi kushinda mechi 5 mfululizo kwa kweli ni ndoto...
To be realistic I will take Big 4 finish as job well done considering the injuries and loss of form kwa wachezaji wetu...
The wins aganist Hammers and the Whites made us dream again perhaps Citizens are there to be nailed haha pipe dreams but jana was reality check we aint out of the woods yet...
YNWA
Hivyo vi timu vidogo kiboko yao jota,me bado naimani,jota akija tutakuwa tunashinda kwa vitimu vidogo hivyo.
Maana kipindi kile wakikaa nyuma jota bado anawafunga tu.maana kuna muda unaona kabisa hapa hakuna matumaini lakini jota akiingia lazima alete mabadiliko tu.
Hivi ndio ile gemu Hendo the bam alipewa sub akataka kummeza Klopp...Unakumbuka 2018/19 game tuliyoshindwa kumfunga Manure akiwa na injuries karibu Timu nzima mwisho wa mchezo akasingizia 'Injuries za Manure zimemuharibia game Plan yake'? Nilicheka mpaka basi.
Mkuu kuna jambo unasahau tazama ushindi wa Hammers na Spurs ulipatikana kwa timu work yaani tukicheza kama unit no team can stop us..Hivyo vi timu vidogo kiboko yao jota,me bado naimani,jota akija tutakuwa tunashinda kwa vitimu vidogo hivyo.
Maana kipindi kile wakikaa nyuma jota bado anawafunga tu.maana kuna muda unaona kabisa hapa hakuna matumaini lakini jota akiingia lazima alete mabadiliko tu.
Lol sioni hee gemu ikitoka draw unless Pep awe kama Fergie akijua draw kwake ni sawa maana wanazidi kutuacha mbali..City
Anadraw na Liver ( 0-0 )
Atamfunga Tote ( 2-0)
Atamfunga Ase8 (3-0)
Atamfunga Westbrom (1-0)
Atamfunga Nyumbu ( 2-1)
Pep Anfield hua anasaka draw kuliko achapike aisee...Hahaaaaaa
Hapo tunatembeza fimbo
Tunaanza anfield
Mkuu awape UCL hii ndio furaha na ndoto ya Mashabiki lukuki wa Citizens..
Pep uefa anaitafuta kwa hali na maliMkuu awape UCL hii ndio furaha na ndoto ya Mashabiki lukuki wa Citizens..
Kwa £64m mlizotoa sikutegemea zaidi ya haya ndugu..
YNWA
Klopp nipigie kipara acha kuja na excuses zisizokuwa na kichwa wala mguu..
YWNA
All the best kwa sasa Pep hana kisingizio kikosi kimeiva aisee Rodri, Cancelo na Gundogan wapo moto sanaaa...Pep uefa anaitafuta kwa hali na mali
Huu msimu may be .....
PL is better than uefa