Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp this is on you...

We are being outplayed outclassed haha at Home lol...

Our main threat is without the ball lakini leo we are running like headless chicken with no plan whatsoever this is poor...

Why start Milner 3 games consecutively seriously...

Poor decision making, poor passes, this is wake up call to Klopp..

YNWA
 
LiverpoolFc plays as headless chickens with their barefoots.
 
Hata mechi ya Burnley nilifungwa lakini jitihada zilikuwa zinaonekana ni ile ilitokea bahati mbaya tu, leo umechezwa utopolo sijapata kuona, cjui mara ya mwisho kuona liverpool ya hovyo kama hii ya leo ilikuwa lini tu?
Refa hajawabeba hawa wapinzani wenu?
 
Swala ni moja tu tukikutana na team inayojilinda (kupak bas) hatufurukuti...totenham alifunguka tukashinda akaja westham akafunguka tukashinda leo wamekuja watu wanaokaa 7 kwenye boksi wanasubir kupiga counter na hatujafurukuta
 
No
Mane
Kipa Becker
Fabihno
Matip
VVD
Gomez
Jota

Liverpool HALISI tuchukulie matokeo ya hii mechi kama changamoto yetu ya majeruhi,tuzidi kuwa nyuma ya team nawaomba sana
 
No
Mane
Kipa Becker
Fabihno
Matip
VVD
Gomez
Jota

Liverpool HALISI tuchukulie matokeo ya hii mechi kama changamoto yetu ya majeruhi,tuzidi kuwa nyuma ya team nawaomba sana
Ahahaaaaaah!!!
Wewe jamaa huwaga unachekesha sana aisee!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…