Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Kwa hiyo beki tuliyochukuwa UEFA na ligi ilikuwa TAA, Gomes, Matip na Robertson!

VVD hakuwepo.
 
Hahaaaa


Hizi kuku zinavojitekenya na kucheka hahaaaaa

Oooh man city bila kdb hawana kitu ...

Niwambie tu

Hii liverpool mbovu inayopigwa hadi na burnely ikimfunga city najipiga life ban ...

City hata asipokuwepo kdb ,moto wake uko pale pale....

Kama city kapata ushindi mwembamba kwa SU ,waulize man utd

Au game ya

Liverpoool vs sheffild united

Tutawaona


Timu ikipakiwa bus ,haifurukuti ni liverpool
 
Hii tunaitunza kwa matumizi ya baadae
 
KABAK - DAVIES wajitahidi sana kwenye Mazoezi kuelewana mapema kama Combi ili wapige kazi Fabinho na Hendo warudi kwenye Nafasi zao.
hendo hata akibaki huko aliko bora aisee kuliko fab kuwa cb.......... fab akirudi mido, plus thiago na yeyote atakayeungana nao will be supper
 
Hi sentesi ya kujipiga ban tumeshazoea kusikia kutoka kwako na huwa huitendei haki
 
Kila la heri Minamino

Natumai utaenda kuboreka Zaidi ukishirikiana na Dany Ings
Minamino nadhani ilibidi klabu ifanye dili la chap ili kumpisha Kabak apate usajili EPL maana tayari kikosi wachezaji 25 wameenea..

Idea ilikua Adrian ataodoka lakini naona hili lilishidikana hivyo wakaona bora kumtoa kwa mkopo huyu Mjapan..

Sijajua kwa nini hawakufuta usajili wa Matip anaesemekana hatacheza tena msimu huu..

VVD upo uwezekano akacheza Aprili 2021...

Otherwise Minamino namtakia kila la kheri na alipokwenda ni mahala sahihi kabisa wana kocha mwenye idea kama za Klopp...

YNWA
 
Hapo unaongea mwenyewe huku umeshika kiuno na vidole vi3 juu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…