Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dua la kuku. Sisi sio wale wanaoshindwa kuzifunga timu zinazofanya vizuri. Baada ya dakika 90 tutakuwa tunakupumulia kisogoni
Malizana nao kwanza jamaa hao na nyundo yao.
 
Without Mane in the side tonight, I can't see how we can break down this low lying defense kwa kweli.
 
Origi kwasasa ndiyo Turufu yetu pekee ya kupata mchezaji kutoka Midtable Teams kwani tunaweza kumtumia kufanya swap
 
Makocha wanajua zaidi kuliko sisi but natamani kujua ni sababu zipi zinamfanya Kocha amuanzishe Origi ahead of Minamino.

MY TAKE: Iwapo Origi atafunga au kuassist goli hakutabatilisha niliyoyaandika.
 
Makocha wanajua zaidi kuliko sisi but natamani kujua ni sababu zipi zinamfanya Kocha amuanzishe Origi ahead of Minamino.

MY TAKE: Iwapo Origi atafunga au kuassist goli hakutabatilisha niliyoyaandika.
Kuegemea origi kufunga goli ni sawa na kutaraji radi kali wakati wa jua kali la kiangazi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…