Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Katika Matajiri waliowekeza kwenye Soccer FSG ndiyo matajiri pekee wanaoongoza kwa Faida ambao hawaendeshi Timu kwa hasara hata ya asilimia 0.000001%.

Hawanunui mpaka Wauze
Wakiuza £150M ndiyo wananunua wa £50M ili £100M iwe faida.
Kamwe hawanunui kwa zidi ya Walichouza.
Kamwe hawanunui sawa na Walichouza.
Siku zote wananunua chini ya 30% Walichouza.
Hawajawahi kutoa pesa yao Mfukoni kusaidia Timu au usajili bali Timu inajiendesha wenyewe kupitia mapato yake.
Timu inapokwama kwenye usajili au shughuli yoyote ile basi wahuni wanaikosesha na kujilipa baadae.

Kiufupi jamaa wameshaibomoa Timu manake Pesa za kina Brewster, Lovren na Danny Ings ndiyo kanunuliwa JOTA, Sasa sijui huyo CB atanunuliwa kwa pesa za nani! Tusubiri auzwe Origi na Xhaqiri ili anunuliwe.
Na auzwe Salah na Keita ili tujue mshambuliaji na Midfielder.
 
  • Aguero Tested positive Covid-19
  • KDB out for 6 weeks due to hamstring injury
  • Vardy out for unknown weeks due to Ngiri
  • Lampard out of Top Four for several weeks
  • Arsenal their whereabout unknown
  • Klopp his Liverpool is out of control

Sasa naamini huu ni mwaka wa Manure kila tukio linawafavour wao wabebe Ubingwa.
 

Sio rahisi we ulitegemea jana ungepigwa nyumban
 
Fabinho influence at AM is underrated kwa sasa imeeleweka vyema ni akina ndio unsung heroes....

Hendo is bam that will never...

YNWA
 
Liverpool’s calendar for the next month:

FA Cup: Man Utd (A)
PL: Spurs (A)
PL: West Ham (A)
PL: Brighton (H)
PL: Man City (H)
PL: Leicester (A)
UCL: Leipzig (A)
PL: Everton (H)

[emoji102]
 

Captain mwenye uwezo huo alikua huyu hapa playing beside bams like Hendo... Cant imagine angekua kapata bahati ya kucheza na hawa vijana wa sasa..



YNWA
 
Captain mwenye uwezo huo alikua huyu hapa playing beside bams like Hendo... Cant imagine angekua kapata bahati ya kucheza na hawa vijana wa sasa..

View attachment 1683507

YNWA

Captain kama huyu alicheza na mabeki wa kati kama Skirtel na Kaygriakos.
Alicheza na mabeki wa pembeni ka Arbeloa na Emily Insua.
Alicheza na Viungo kama Lucas Leiva na Jordan Henderson.
Alicheza na Washambuliaji kama Voronin na David Ngog.
But still alimanage kutupa chochote kupitia jitihada binafsi.
Wakati wa shida yeye ndiyo anashika hatamu ya mapambano.
Huyu Captain hakupata bahati ya kucheza na Liverpool ya kina VVD, MANE, SALAH, ALISON, FABINHO, TAA na ROBBO.
 
Kuna baadhi ya Posts hapa zilijaribu kutaka kutuaminisha kuwa Henderson ni Leader kwenye Pitch na outside the Pitch, Sasa tuko kwenye wakati Mgumu na ndiyo tunahitaji Leadership zaidi kuliko kipindi chochote kile! Where is his leadership now? Coz uwanjani tu acheza tu pata mpatae hujui nani ni kiongozi!
Kipindi hichi kila propaganda itakuwa Exposed tutashuhudia mengi kwakweli.
 
Liverpool six Premier league defeats since the start of last season.

Wartford NO HENDERSON
Man City NO HENDERSON
Arsenal NO HENDERSON
A Villa NO HENDERSON
Southampton HENDERSON CB,Not in Midfield
Burnley NO HENDERSON

Liverpool Halisi kumbe wako sahihi Engine ya timu ni HENDERSON Au nasema uongo ndugu yangu Malafyale kinogozi wa LIVERPOOL HALISI.
 

😅😅😅 Ni kweli sisi Liverpool HALISI tunalijua hili
 
manyua niachieni tarehe 30 , hawez kukaa pale juu kwa mpira wa kuviziavizia.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…