Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Naunga mkono hoja, tushikamane, tuombee team yetu, usajili sio issue,.maombi na kushikamana
Hahaha eti zima kwenye gia[emoji3][emoji3][emoji3] halafu unasema umetombesha maneno?Sio kosa langu ni kosa la mwalim.
Ninacho jua humu mjengoni kwenu kuna makundi mawili, HALISI pamoja Pep.
Nilicho elewa mimi kwenye ile comment yako nikua unataka kuhusisha mambo ya makundi kwenye mjengo wetu.
Ikiwa nimetombesha maneno zimia kwenye gia.
Hivi kale ka msemo unfield hatoki mtu huko kwenu bado kapo.
HahahahahahahahahahahahahahaaKlopp hana ideal mpya kabisa,You can't keep playing the same tactics for more than 3 season and be expecting good results .
Klopp anamekuwa na his love for some players mpaka ameshindwa ku create competition kwao.
Achana na Chelsea wewe ..Chelsea ni level ingine..Liverpool ni chelsea iliyochangamka
Burnley walifanya yao nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyt folks mzunguko wa kwanza ndio tumeumaliza leo.. Hali yetu tete sana hairidhishi.. Huwezi kua unataka ubingwa kwa kutoa sare ama vipigo kama hivi tena Anfield fortress...
Tunaanza mzunguko wa pili na mechi ngumu sana ugenini Tottenham...
Dirisha la usajili lipo wazi ngoja tusubiri sapraizi kwa kwenye klabu..
Jota anahitajika kuliko wakati wowote ule... Apone haraka aje kuwaonyesha wengine goli lilipo...
IInatisha kuwaza bila usajili huku tukitegemea majeruhi wapone ndio waje watusaidie yaani we need lady lucky this time...
Ufaransa Ligue One wamepata pigo kubwa kuna mkataba wa TV kampuni imeingia mitini hivyo hii itawaadhiri sana kimapato na vile hakuna mashabiki hivyo hata bei ya wachezaji wengi kule wapo kwa bei za ki covid aidha kwa mkopo ana kununua kabisa.. FSG wachangamke...
YNWA