D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,661
- 121,091
naunga mkono hoja, hendo anacheza mpaka beki kutokana na utiifu wake mithili ya mataga na mwenyekiti.Hendo kampita hadi Gerrard, sasa kwa nini tumseme?
Kwa miaka zaidi ya 30 hakujawahi kuwa na captain bora kuliko Hendo, sasa kama Klopp na Southgate wanamkubali, nyinyi Liverpool PEP ni nani mmseme? Kwanza hamna football management.
naunga mkono hoja, hendo anacheza mpaka beki kutokana na utiifu wake mithili ya mataga na mwenyekiti.
naunga mkono hoja, hendo anacheza mpaka beki kutokana na utiifu wake mithili ya mataga na mwenyekiti.
Asante mkuu, yaani umekubali kuwa unafiki haukwepeki.Uhusiano wetu na wachezaji unakuwa bora kama wanatupa matokeo chanya, otherwise spana hazikwepeki.
Na ninyi Liverpool Masalia mnasemaje??You're right but Nyinyi LIVERPOOL HALISI spana sio kwa Hendo kwasababu katupa CL na EPL kwani bila ya yeye tusingebeba Makombe.
Spana tuwachie sisi Liverpool PEP.
Asante mkuu, yaani umekubali kuwa unafiki haukwepeki.
Lawama hazikwepeki wakizingua
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
I agree with you, Henderson is a best leader on the pitch than Gerald were.Hendo kampita hadi Gerrard, sasa kwa nini tumseme?
Kwa miaka zaidi ya 30 hakujawahi kuwa na captain bora kuliko Hendo, sasa kama Klopp na Southgate wanamkubali, nyinyi Liverpool PEP ni nani mmseme? Kwanza hamna football management.
I agree with you, Henderson is a best leader on the pitch than Gerald were.
Kuna ule msemo unasema, Bora jeshi la fisi likiongozwa na Simba kuliko jeshi la Simba likiongozwa na fisi.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Duuh unakumbuka Aguero anapiga goli lenyewe lipo linamtazama tu...Huyu naye aache umwehu ndiye uliyetukosesha Ubingwa wa EPL 2018/19
kuna wanataka tuwe na mawazo mgando jambo ambalo haliwezekani kwa sisi binadamu wenye akili timamu, binafsi siwezi kutetea ujinga wa wachezaji wanaolipwa mamilioni ya fedha kwa wiki.Uhusiano wetu na wachezaji unakuwa bora kama wanatupa matokeo chanya, otherwise spana hazikwepeki.
nikiwa kama mshereheshaji wa liverpool halisi kwa siku ya leo naomba nikujibu ifuatavyo:Ni kweli Hendo Mtiifu ndiyomana anakubali kucheza mpaka Beki lakini sisi Liverpool PEP tunashangaa pia kwanini Fabinho sio Mtiifu na amekataa kucheza beki baada ya kuumia VVD.
Pia GINI sio Mtiifu kwa kukubali kuchezeshwa kiungo wa chini baada ya ushambuliaji.
hatari sana, kuna watu wanahitaji kuyasikia mazuri tu nafsini mwao.Jana niliona post yako kuhusu Bruno, naona wadau wa Man Utd HALISI hawakukuelewa.
Leicester on top
Good news kelele za Man u za kuwa on top
Zinaisha
The bad news ...the race is still Very open
Jana niliona post yako kuhusu Bruno, naona wadau wa Man Utd HALISI hawakukuelewa.
Sisi Manchester United hatuna huo upuuzi sijui HALISI sijui kineng'emu gani sisi hatuna.
Sisi wote ni wamoja.
Kutofautiana mitazamo ipo, lakini mambo ya kujitenga tenga ni yaakina mama hayo.