King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Leo ni kipigo leo..hakuna ushindi labda draw mubaatishe
Hadi leo hii ni siku ya 21 toka dirisha la usajili lifunguliwe mabeki wote wako wodini lakini tumelizika tu na kunyamaza kimya kwa sababu Fabby na Hendo wapo, hahahahahah matokeo yake stability ya timu inakosekana kabisa mpaka manure wanatoka na point Anfield, haya ni maajabu makubwa sana
Kwani hii mechi ya juzi ni ya kwanza kwa Mane na Salah kuwekwa mfukoni na FB wa United?..si ni kawaida tu?.Ingawa MosDef mara nyingi anaelezea hapa kuwa sababu ya kutokufunga magoli ni kuumia kwa VVD na GOMEZ but kwahili sijakubaliana na mtazamo wake, mimi mtazamo wangu hatufungi magoli kwasababu kuu mbili.
YA KWANZA:
Kushuka viwango kwa mabeki wetu wa Pembeni (TAA na ROBBO), au Makocha wameshawajua uchezaji wao sasa wanawadhibiti! Hii imepelekea Timu yetu kukosa ubunifu wa kutengeneza nafasi za kufunga kwani ndiyo mbinu pekee kwa misimu Mitatu sasa ndiyo tunayoitumia baada ya kuondoka Coutinho.
YA PILI:
Kushuka kiwango kwa Front 3 yetu! Huu ni ukweli usiofichika kuwa Front 3 yetu siyo ile tuliyoizoea, haiwezekani mchezaji kama Sadio Mane akabwe na Boya kama Wan Bissaka asifurukute halafu tulaumu kuumia kwa VVD how?
Bobby kashuka Kiwango lakini at least akili ya mpira bado anayo, Salah yeye kashuka kiwango lakini na hata ile akili ya mpira pia hana hata moja.
Mane kashuka kiwango na akili ya mpira pia inaanza kupotea huenda akawa kama Salah.
Mbona Jota alikuwa anafunga bila ya VVD?
Mbona zamani Bobby na Mane walikuwa wanafunga bila ya VVD wakati nyuma kuna Lovren na Skirtel?
Hii Front 3 yetu tukubali tu kuwa kwasasa haimtishi Mtu.
Kuhusu Mido siiongelei kwani haijawahi kutusaidia kwenye kufunga.
Ingawa MosDef mara nyingi anaelezea hapa kuwa sababu ya kutokufunga magoli ni kuumia kwa VVD na GOMEZ but kwahili sijakubaliana na mtazamo wake, mimi mtazamo wangu hatufungi magoli kwasababu kuu mbili.

Huku leo tunatangaza msiba mapema sana.Kwenye Uzi wenu umekimbia umekuja kujificha huku! Wanakutafuta.
Mmmh, huyu Mhaya ana mambo sana
Huyu jamaa angekuwa bongo tungesema ni ccm
MosDef yuko sawa tu mkuu kwa upande wangu,
Kwasababu vvd Na gomez wakiwepo Fabinho angesogea mbele na Fabinho akiwa hapo kati sidhani kama atamaliza msimu bila kufunga,lakini kwa sasa hawezi kufunga.
Na kutokuwepo kwa vvd sasa hivi hatua uwezo wa kufunga magoli ya kona ,mipira ya kona wapinzani hata hawatuogopi siku hizi,na hata sisi kufungwa magoli ya kona inakuwa kawaida kabisa,vvd angekuepo mipira yote ya kona anaokoa yeye.
Timu yetu haiko vizuri kwenye mido,mido ikicheza vizuri siku hiyo wapinzani wataoga magoli.
Ingawa MosDef mara nyingi anaelezea hapa kuwa sababu ya kutokufunga magoli ni kuumia kwa VVD na GOMEZ but kwahili sijakubaliana na mtazamo wake, mimi mtazamo wangu hatufungi magoli kwasababu kuu mbili.
YA KWANZA:
Kushuka viwango kwa mabeki wetu wa Pembeni (TAA na ROBBO), au Makocha wameshawajua uchezaji wao sasa wanawadhibiti! Hii imepelekea Timu yetu kukosa ubunifu wa kutengeneza nafasi za kufunga kwani ndiyo mbinu pekee kwa misimu Mitatu sasa ndiyo tunayoitumia baada ya kuondoka Coutinho.
YA PILI:
Kushuka kiwango kwa Front 3 yetu! Huu ni ukweli usiofichika kuwa Front 3 yetu siyo ile tuliyoizoea, haiwezekani mchezaji kama Sadio Mane akabwe na Boya kama Wan Bissaka asifurukute halafu tulaumu kuumia kwa VVD how?
Bobby kashuka Kiwango lakini at least akili ya mpira bado anayo, Salah yeye kashuka kiwango lakini na hata ile akili ya mpira pia hana hata moja.
Mane kashuka kiwango na akili ya mpira pia inaanza kupotea huenda akawa kama Salah.
Mbona Jota alikuwa anafunga bila ya VVD?
Mbona zamani Bobby na Mane walikuwa wanafunga bila ya VVD wakati nyuma kuna Lovren na Skirtel?
Hii Front 3 yetu tukubali tu kuwa kwasasa haimtishi Mtu.
Kuhusu Mido siiongelei kwani haijawahi kutusaidia kwenye kufunga.
Tatizo letu kubwa sisi Fans ni kuwa na higher expectations. Atarudi Jota mtaanza kumpiga spana kama jamaa zenu akina SalahJota namsubiri sana aisee.
Mechi ya leo kama hatutashinda, kutakuwa kuna jambo ambalo si zuri msimu huu.
VVD na GOMEZ ni moja ya factor kwenye Midos ambayo inaathiri system ya Timu ya uchezaji, but kwenye uwezo binafsi wa wachezaji (Front 3) Mkuu wameshuka sana kiasi ya kwamba hawawezi kushot golini wala kutoa pasi kwenye mashambulizi.
Tatizo letu kubwa sisi Fans ni kuwa na higher expectations. Atarudi Jota mtaanza kumpiga spana kama jamaa zenu akina Salah
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Uhusiano wetu na wachezaji unakuwa bora kama wanatupa matokeo chanya, otherwise spana hazikwepeki.
You're right but Nyinyi LIVERPOOL HALISI spana sio kwa Hendo kwasababu katupa CL na EPL kwani bila ya yeye tusingebeba Makombe.
Spana tuwachie sisi Liverpool PEP.