Mi achukue hata Spurs poa tuu ila Manchester United hapana nasema kwa herufi kubwa HAPANAMkuu Penison yuko Sahihi sana sababu Man Utd ni maadui wakubwa maadui pacha pamoja na Everton dhidi ya Liverpool
Sisi Anfield hatuna uadui na Man City , the same to Arsenal,Chelsea,Spurs
Haha kumbe asante ndugu..Mkuu hujamuelewa Penison, hapo anamaanisha tukikosa Ubingwa Bora kuishabikia Mancity kuliko Mwantesa United wachukue kombe [emoji3]
Falsafa ya kuunza kwanza then ukanunua mimi siikubali coz unaweza kuuza na usifanikise kupata Waliobora kuliko wao! Hivyo tununue kwanza updates zao then ndiyo tuuze.Tuuze Salah na gini tupate hela
Tufanye updates Kama ya Allison na vvd
Nimefurahi umeona
Ila hapo wa kulaumiwa sio wachezaji bali ni kocha , Salah kwa mawazo yangu wa kupewa dakika chache , Gini anatakiwa kuwekwa mbele
Gini ana kipaji cha kufunga ila kocha hataki kumtumia kufunga
Pale kwenu Hamna quality yoyote ya kuifunga Liverpool licha ya Liverpool kustruggle hivi sasaLiverpool ya hovyo kabisa kuwahi kuiona kwa hivi karibuni nimeiona jana tena ndani ya msimu huu.
Tension tu ya kutaka kutokupoteza game ndo iliyofanya na sisi United tubaki baki nyuma.
Liverpool ya hovyo kabisa kuwahi kuiona kwa hivi karibuni nimeiona jana tena ndani ya msimu huu.
Tension tu ya kutaka kutokupoteza game ndo iliyofanya na sisi United tubaki baki nyuma.
Gini ana kipaji cha kufunga yule ,inawezekana sana kuchezeshwa 7 au 11 vizuri tu kiburi cha kochaChukulia mambo kwa mtazamo chanya ndugu! Front 3 yetu imechuja lakini jiulize unamueka Benchi Salah acheze nani anayeweza kuoffer zaidi ya kile anachooffer Salah? Uñamueka Benchi Firmino unamchezesha nani?
Au ndiyo aekwe Benchi Salah kwa kuchezeshwa Origi na Shaqiri?
Gini kwa Salah? No, big No kwakweli!
Front 3 yetu yote ni mbovu lakini tuwe wakweli hatuna mchezaji ambaye ni bora kuliko wao hivyo waendelee tu kucheza mpaka pale tutakapopata wabadala wao.
Ni hatari sana Man of The Match anakuwa goalkeeper kwa game kadha wa kadha.
Gini ana kipaji cha kufunga yule ,inawezekana sana kuchezeshwa 7 au 11 vizuri tu kiburi cha kocha
Origi ni kweli anazingua ila Klopp hajamtendea haki yeye na wengine wanaosugua benchi na ni kwa sababu Klopp hana au hajui rotation
Mfano au demonstration ya rotation angalia anachokifanya Guardiola kwenye rotation ,ule mfumo wa kurotate squad players pake Mancity anaoufanya Guardiola ndio mfumo mzuri wa rotation niliowahi kuuona tangu nizaliwe
Save this comment, mwakani sio mali sana.Liverpool ni namungo iliyochangamka
Na mwakan Uefa mtaisikia kwenye bomba
#arsenal for life
Mkuu umeacha na mabeki wao walikua na timely tackles na interception zao na blocks zilitufanya kuambulia sare...Pale kwenu Hamna quality yoyote ya kuifunga Liverpool licha ya Liverpool kustruggle hivi sasa
Ukiachana na Pogba na Bruno hamna wachezaji wenu waliocheza vizuri jana au useme angalau wanahadhi ya kiwango kuifunga Liverpool
Haha Klopp atakwmabia hana mabilioni ya Mansour...Mpaka pale klop atakapo amini kuwa
Mane firmino salah
Tayari nyakati zao zinaenda kuisha ,ajaribu kutafuta mbadala kwa kufanya rotation kwenye game huku akitengeneza vijana wengine hatari
Ona pep ,baada ya arguero kuumia ia na kuwa butu ,Jesus alishindwa kureplace ,bado akabadili mbinu ,anamtumia kdb kama false no 9 , na anawashika opponent
Baada ya nyuma kupwaya kwa kuondoka Vincent ,kastruggle na kina laporte ,zinchenko ,stone , kamleta na dias kutoka benafica aisee hawa madogo in monster hata kama walker na Fernandihno hawapo ,
Leo hata kama arguero ,Jesus hawapo ,bado uhakika was point 3 upo
Anajiamin ,hata kama arguero asipo ongeza mkata akaondoka city hawez struggle kivile ,pep kashaandaa mbinu mapema
Liverpool ya hovyo kabisa kuwahi kuiona kwa hivi karibuni nimeiona jana tena ndani ya msimu huu.
Tension tu ya kutaka kutokupoteza game ndo iliyofanya na sisi United tubaki baki nyuma.
Gini anaodoka buree Juni 2021...Tuuze Salah na gini tupate hela
Tufanye updates Kama ya Allison na vvd
An extract from ESPN:
With the exception of goalkeeper Alisson Becker, who arrived in the summer of 2018, the key players in Klopp's team are the same as they were three years ago and there are no secrets anymore with this Liverpool side.
Teams know how Mane and Salah like to receive the ball and what they do with it, they know that Liverpool lack creativity in midfield and that Van Dijk's injury has taken away their self-confidence at the back. They know that the full-backs are Liverpool's most potent creative force, so they are learning all the time how to stop them.
Liverpool's rivals have figured them out; Klopp now needs to outsmart them all again to end the goal drought..
You can read full report here:
Liverpool's goal drought could cost them the Premier League, so why can't they score?
Liverpool have a world-class attacking unit but have scored just once in four Premier League games. What are the reasons for their goal drought?africa.espn.com