Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Unavyoona Manchester City wakirudi kwenye kasi yao bila Jesus na Aguero inatisha ndugu...Sijui kwann Ila leo ni Sina hofu hata kidogo kuhusu hii mechi na naamini tutashinda ushind mzuri tu...khofu yangu Ni man city kuliko man untd kiukweli.
Sent from my M1 Lite using JamiiForums mobile app
Mkuu Masamila kweli Henderson awe mzima kabisa Klopp asimpange kweli inawezekana..
Ngoja tuone naona kikosi kitakua hivi
Allison
TAA Matip Fabinho Robertson
Gini Henderson Thiago
Salah Firmino Mane
Kuwavuruga Manchester United kimepangwa hivi..
Alisson
TAA Matip Fabinho Robertson
Jones Thiago Gini
Salah Mane Takumi...
Hapo inakua imebalance especially upande wa TAA msimu huu kuna shinda tunavyoshambuliwa hivyo Jones ana fresh legs angesaidia zaidi defensive duties.....
YNWA
Hivi Jota bado tu hajapona?Mkuu Masamila kweli Henderson awe mzima kabisa Klopp asimpange kweli inawezekana..
Ngoja tuone naona kikosi kitakua hivi
Allison
TAA Matip Fabinho Robertson
Gini Henderson Thiago
Salah Firmino Mane
Kuwavuruga Manchester United kimepangwa hivi..
Alisson
TAA Matip Fabinho Robertson
Jones Thiago Gini
Salah Mane Takumi...
Hapo inakua imebalance especially upande wa TAA msimu huu kuna shinda tunavyoshambuliwa hivyo Jones ana fresh legs angesaidia zaidi defensive duties.....
YNWA
The above stats prove that we have 2 of the best "forward passers" in the league. Nice place to be in.
Hofu yangu na mimi ni Pep aisee.......ana uzoefu sana na hizi title run-ins.Unavyoona Manchester City wakirudi kwenye kasi yao bila Jesus na Aguero inatisha ndugu...
Ukweli ni kwamba kama Pep na vijana wake ni tishio kwetu kuliko majirani zao..
Gemu hii ya leo ndio ya kutuma ujumbe namna tunavyoumbakisha ubingwa Anfield...
Pazuri ni kwamba hawa jamaa wamefungwo goli 24 huku sisi na ukuta wa kuungaunga tukifungwo 21 hivyo inaonesha wao pale nyuma wanafungika..
Kingine sisi tumefunga goli 37 na wao wana 34 pia hii imekaa powa kwani pale mbele kwetu makali yamepungua hivyo wakiweza Salah na wenzie leo wana nafasi ya kurudisha yale makali yao..
Mahala ambapo naona wanaweza kutuumiza ni kwenye counter attack msimu huu wana goli 5 ambapo ni EPL highest huku sisi tukiwa na goli 3,.. Hili la counter attack ndio linanipa shinda kwani wanawachezaji wenye mbio na akili pale mbele huku mkijua Fabinho mbio sio moja ya ubora wake...
Whats a game bring em...
YNWA
Utachezewa uko kudogo hauta sahau
Nani unamwambia..Musije mukasahau,
Mpaka kufikia mwezi wa pili mutakua mushafika kwenye nafasi yenu ya tatu, nafasi ambayo ndio mutamaliza nayo kwenye msimamo wa ligi msimu huu
Nani unamwambia..
Sawa sawaKuku.
Nina mkuki broWe ni jinsia gani?
Nina mkuki bro
Yaani mashabiki wa man u ni kama mazombie ngoja uone leo utavyofanywa