Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,307
- 40,107
Huyo mzee wenu ni kichaaSisi Liverpool HALISI tumeshauriwa na mwenyekiti wetu kwamba tusiisema timu hata kama haifungi, haipati mchezaji bora wala kocha wa mwezi.
BTW: Ikitokea bahati mbaya tukachukua ubingwa mwaka huu, nitakuwa na furaha iliyopita kiwango. Hali yetu ni ya kuunga unga sana.
Huyo mzee wenu ni kichaa
Nyumbu
Ikitokea bahati mbaya????Sisi Liverpool HALISI tumeshauriwa na mwenyekiti wetu kwamba tusiisema timu hata kama haifungi, haipati mchezaji bora wala kocha wa mwezi.
BTW: Ikitokea bahati mbaya tukachukua ubingwa mwaka huu, nitakuwa na furaha iliyopita kiwango. Hali yetu ni ya kuunga unga sana.
Ikitokea bahati mbaya????
Japo hatupo on our best form, lakini bado tunaweza ku compete na kuchukua ubingwa wala haitakuwa bahati mbaya.
KipumbavuWewe ni Liverpool Maslahi.
Tunakushauiri ujiunge Liverpool HALISI tushikamane.
Kipumbavu
Kitakuja kunipa ban
Hao tunawapiga mapema tuWrong choice of words!
Nilitakiwa kuandika ikitokea bahati ya sisi kuchukua ubingwa, na si bahati mbaya!
Nimeandika hivyo huku nawawaza Man Utd.
Hao tunawapiga mapema tu
Itakuwa burudani sana, maana kelele zao ni noma.
Kapumbavu aTulishapiga kelele sana juu yake, mpaka tuka-opt kumuignore.
[emoji1787]Wewe ni Liverpool Maslahi.
Tunakushauiri ujiunge Liverpool HALISI tushikamane.
Hivi taarifa za Jota vipi huko wakuu?
Shetani anakufa mapema kabisa wala hiyo game hainipi pressure
Jota vipi hali yake, anarudi lini wakuu?
Hao tunawapiga mapema tu
Shetani anakufa mapema kabisa wala hiyo game hainipi pressure
Hivi taarifa za Jota vipi huko wakuu?
.Haw Vijana wapo vizuri tatizo sasa watapewa nafasi?