Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Cha kushangaza ndani ya R17 Utd kwa miaka 7 hajawahi kuongoza ndio uone tofauti

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app

Ndio mnakuwa wehu kama mmechukua kombe vile?

Wengine wameshazoea nyinyi ndio mara ya kwanza Baada ya muda mrefu ,ndio maana mmewehuka sasa tunawajulisha utaratibu uliopo hapo kwenye kuongoza ligi.sasa bado hamtaki kuamini mnalazimisha kwamba mnachukua ligi.

Sasa hivi nimejua kumbe mjawahi kuongoza ligi kwa muda mrefu sana,ndio maana mnaona ajabu kwenu.

Wenzenu tumeshazoea kukaa hapo juu,tukikaa hapo hatuoni ajabu.sisi tunaangalia ubora wa timu yetu mapungufu yako wapi na tuchezeje.
 

Mkuu kwa upande wangu kukosekana kwa baadhi ya wachezaji kwenye baadhi ya mechi ndio imesababisha yote hayo .

Na sio habari ya pressure.wachezaji wakubadilisha matokeo ndio wanakuwa wanaumia kila wakati.

Wachezaji wote wakiwepo hakuna timu yakutusumbua hapo wala kutupa pressure.
 
Mzee kaa kwa kutulia aisee... Umeandika para nyingi sana... Hakuna vita hapa nyie tulieni.. Maana wakati mnaongoza hakuna aliwapangia kuwa hapa mtakaa kwa muda gani. Halafu hujajua wewe kwa misimu mitatu successful msimu uluopita ndio ulitoboa tu ssa mbwembwe za nini? [emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Wao ndo wanajiita wazoefu[emoji16][emoji16]
 
wanachopitia utd kwa sasa ndicho tulikua tunapitia sisi miaka ile michungu!


yani tukikaa top hata kwa bahati mbaya tunapiga kelele kama mabingwa vile........ miaka ya Houlier, Rafa, na Brendan....


tusiwalaumu pundamilia jamani
 
hapana, 2009, 2014, 2019 walikuwepo wote tuu hata hatukua na injuries presha ilitushinda
 
Liverpool HALISI tuendelee kuwa na team,tarehe 17 tukubali kila aina ya matokeo,tusiwe na matokeo yetu mfukono!
Tuheshimu maamuzi ya Klopp na tuendelee kuwaunga mkono wachezaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…