Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Achana naye kamjamaa huwa hakajielewi kabisa
Man Rhys aint up to speed i guess this the secomd time he has been overrun...433, inam-limit sana, because some players hawafit kabisa kwenye hiyo formation, especially Shaqiri.
Leo, alivyoingia Shaqiri, tuli-switch kwenda 4231, and ilitusaidia sana, unlike dhidi ya Southampton, tulibaki na 433 hata Shaqiri alivyoingia ndiyo hakuwa na impact sana, but naona Klopp decided to go full 4231 kwasababu aliona ni dhidi ya Kids, ile counter ya goal lao nadhani uliona jinsi Rhys alivyokuwa slow, so 4231 against good & pacey attackers ni suicide, sijui atakuja na formation gani against Utd, but isiwe 433, na 4141 inaweza ikawa nzuri zaidi.
But, kama tunataka kushinda, we need to change the system & players.
Hahaha its easy on paper than on action..Hawa jamaa tuliwawekea under 23 wakaibugiza goli 5 bila, mtaani tukawa tunajitetea ooh, wale walikuwa watoto.
Mara kina VVD wakala 7 (wakubwa). Kwa hisani ya Adrian.
Sasa wao wametuwekea watoto, tulitakiwa kurudisha zote 12 kwa pamoja.
Whats a snitch...Mkuu next time uwe unalala mika kwao ili next time wawe wanaogopa kutumia kazi zako bila kukupa chochote na sio kukaa kimya tu kama hakija tokea kitu vile.
View attachment 1672041
View attachment 1672042
View attachment 1672043
Hahaha its easy on paper than on action..
We got the result the Liverpool way...
Best goal ni Gini...
YNWA
Man have lost any hope on Keita...Just, change the MF structure, and we will be fine..
Buy a good and fit CB, partner him with Faby (we're struggling to buy 1 CB so sidhani kama tutaweza ku-afford 2)..
Jota, should be back soon.
The try and play Keita alongside Thiago kila akiwa fit kwaajili ya creativity.
Backline will beAisee, ila madogo walitukazia first half.
Aisee, beki ya tar 17 unadhani kocha ana options zipi?
Heri na kwako pia ,Mwana Liverpool Halisi.Liverpool feki
Heri ya mwaka mpya?
Tunachukua EPL na final ya UCL guarantee
Klopp kaamua kupanga first XI ya kwenye ligi kwenye trophies anazoziita mickey mouse hii inatakiwa ikumaanishie kwamba kwenye ligi hakuna utelezi tena so yupo tayari kusettle na hizo mickey mouse trophies.
Hahaha sawaMoja ya sababu ya hii first XI ni hatuna game yoyote mpaka Jan 17. Na pia nikutokana na recent poor results lakini sidhani kama Klopp yupo that interested na hizi mickey mouse cups not yet
We need to evolve, Klopp needs to evolve..Kadri siku zinavyoenda, majeruhi yametuonesha tena kwamba Hendo ni famba.
I hope so kop..Mkuu manure pale Anfield anakufa tu kwa formation yoyote ile
Rhys & Natt are slow and still learning the game, Fabinho is slow too but anatumia experience yake ku-read the game perfectly, so ana-cover uslow wake na his great ability ya ku-read opponents movement.Man Rhys aint up to speed i guess this the secomd time he has been overrun...
Pace wise Rys na Nats ni wazito.. We cant expect them we hold high line then tuwe na amani they will shut the door..
Have seen on different times wakiwa overrun... On that item i miss Gomez he was rarely overrun.. But they are still adjusting playing in the highest level y EPL hivyo it's a learning curve for them to increase thier timely runs...
Cant picture Rys having a go vs Rashford man he will see dust..
Klopp has a full week without any new injury scare to prepare for Manchester United game.. 4 3 3 might not be the one for us..
Shaqir and Thiago are definitely classic combo jana though vs Villa kids we did see glimpse of what we should expect from this 2 kids...
Mane playing centrally was bold move by Klopp great headed goals though...
Hendo has come back to his worst times.. He now spraying useless passes right and left lol.. He should take a leaf from Thiago..
Milner wow he was superb... This Muzee started playing professionally when he was 16yrs and now he is 36yrs... That 20yrs playing at the highest level.. Salute our babu.. He has looked after his body at the best way possible..
Super sub sasa ni Shaqir finding those tight space for last passes will be key..
Off we go to the next round..
YNWA
Acheni kuisema timu, sisi Liverpool HALISI tuna uchungu na hii timu zaidi yenu, nyinyi Liverpool Maslahi (Liverpool Pep) mnatuharibia timu.
Mmeisema sana mpaka timu haipati matokeo mazuri.
Sisi ngoja tuendelee KUSHIKAMANA.