Hawa Soton huwa tunawafunga, sema haiwagi easly win, ukiangalia fom yetu na vile Soton wana watu mbele kule Walcot na Ings wa kutuletea hatari, itakua mechi ngumu inayopaswa kutumia chance zinazopatikana.
FT
southampton 2 Liverpool 3
FT Soton 0 Liverpool 4Hawa Soton huwa tunawafunga, sema haiwagi easly win, ukiangalia fom yetu na vile Soton wana watu mbele kule Walcot na Ings wa kutuletea hatari, itakua mechi ngumu inayopaswa kutumia chance zinazopatikana.
FT
southampton 2 Liverpool 3
FT Soton 0 Liverpool 4
Hizo unapiga na hasira hasa, tabu ni kwa kina Burnley na matutusa wenzake kina Fulham, Westbrom nk
KabisaMkuu leo soton watajiona hawajui [emoji3]
FT Soton 0 Liverpool 4
Baada ya Thiago kurudi na OX kuwa fit Klopp ameamua kumtafutia Henderson namba mpya ,IPO siku atampanga namba ya Allison.
Tukiikamata MF yao basi wamekwisha...Huyu kocha namkubali sana.
Kazi mnayo leo..wao wakipata 1 point watafurahi.
Ward Prawse naye kwa set pieces ni hatari
Yule dogo aliyeingia juzi baada ya Matip kuumia kama akiaanza leo,Ings/Che Adams watawasumbua sana.
Hendo huyu jamani...Hendo central backView attachment 1667957
Mpaka hapa hakika hakuna kuingia sokoni tena January hii...Baada ya Thiago kurudi na OX kuwa fit Klopp ameamua kumtafutia Henderson namba mpya ,IPO siku atampanga namba ya Allison.
Hendo huko ndio kuna mfaa maana anapenda sana kudefend,sema yale ma back pass yake asije akachomesha.Hendo huyu jamani...
Khaa Klopp anapenda sana kucheza na akili za watu...
Mbishi mpaka basi..
Hate him love him haha he is still the better deal...
YNWA
Ngoja tuone ndugu...Hendo huko ndio kuna mfaa maana anapenda sana kudefend,sema yale ma back pass yake asije akachomesha.