. Ni kweli kabisa ila nw tumezidi Sana Sisi mashabiki tunataka Epl ya 20Manchester City alipata pointi 98 na Liverpool alipata pointi 97..pamoja na mengi sana yaliyochangia ifahamike Manchester City msimu alishinda mechi zote 13 za kumaliza ligi (i stand to be collected)..
Ubingwa tuliokosa pale tulivyotoa sare na West Ham, Everton, Leicester, Manchester United na tukifungwo na Manchester City mpaka hapo ubingwa ukawa byebye... Na katika hizo gemu hakuna gemu ilishangaza kama gemu ya Manchester United kwani walikua hoi na majeruhi kibao lakini tukapata sare nyumbani kwao...
Hakika hizi sare unazoona sasa kama mzunguko wa pili zitakua hivi hivi hatuna uhakika wa kupata EPL ya 20 tena...
Our hope and wish ni kuona vijana becoming more clinical and lethal when its matters na gemu ya South Coast Jumatatu should be a good start back to winning ways...
YNWA
Mkuu Manchester United sio wa kuwachukulia powa...Mi binafisi siamini kama Manure anatimu ya kuchukua ubingwa
Bwana wee mashabiki wao lao moja tu ushindi haha hakuna lingine.... Ni kweli kabisa ila nw tumezidi Sana Sisi mashabiki tunataka Epl ya 20
Ni aibu Mkuu...West brom amepataje draw na Liverpool [emoji23][emoji23] hadi aseno ansjipigia huko
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hao madogo bado sana
Timu yetu inaongoza kuwa na Midfielders wengi Yani ina Viungo 8 wa kati lakini wote kwa pamoja hawafiki Assists hata 5 za EPL kwenye michezo 16! Shame.
1) Fabinho
2) Thiago
3) Keita
4) Gini
5) Henderson
6) OX
7) Jones
8) Milner
Halafu anatokea Mtu anakuambia Coutinho hajaacha pengo lolote Liverpool!! Ivi Coutinho kwenye Midfield alikuwa anacheza Utopolo huu uliopo?
+ vs NewcastlePoints za kijinga kabisa tulizopoteza
vs Fulham
vs Brighton
vs Albion
Yeah kweli..... but on a positive vibe, we're still top of the tree despite all that.Points za kijinga kabisa tulizopoteza
vs Fulham
vs Brighton
vs Albion
Munaanza kujamba jamba sasa.Mi binafisi siamini kama Manure anatimu ya kuchukua ubingwa
Wenzanko hapa ANT-LIVERPOOL waliongea hivi hivi na baadae WAKAUFYATA!Niwe mkweli! Mimi sitoumia kwa kukosa Kombe msimu huu kwasababu Performance ya Timu yetu kwa sasa si yakubeba Kombe! Kitakachoniuma ni Manure kubeba Kombe! Bora tu abebe Man City ili Amani itawale 😂