Usiogope faza manure hana ubavu huo Maybe city ndo wakuogopa sio man uNiwe mkweli! Mimi sitoumia kwa kukosa Kombe msimu huu kwasababu Performance ya Timu yetu kwa sasa si yakubeba Kombe! Kitakachoniuma ni Manure kubeba Kombe! Bora tu abebe Man City ili Amani itawale 😂
Manure wabebe kombe.... Never everUsiogope faza manure hana ubavu huo Maybe city ndo wakuogopa sio man u
Kwema mkuu.Boss
Habari
Manure wabebe kombe.... Never ever
ukishaona kuna mido ya Milner na Hendo bora ukaendelee kulala..... hii mido hata last season ilileta upumbavu mwingi sana!A bit shaky coming from the Champions..
Losing unnecessary points to this mickey teams...
Klopp should drop one of his favourite 3 and do Crystal put Takumi there to make em click...
Next game away at Southampton not a good one...
Things becoming elephant day by day..
YNWA
Tulia weweee, isimame ili iwaje?League isimame
Au ifutiliwe mbali
Nasema uongo ndugu zangu
Ni ma supa bums ndugu hamna kitu pale..ukishaona kuna mido ya Milner na Hendo bora ukaendelee kulala..... hii mido hata last season ilileta upumbavu mwingi sana!
takataka tu haya maingereza
Huu mwaka siyo wa kupata raha ndugu zanguni.
Hata timu yako usitegemee kwamba itakupa raha.
Kamata mizi men.
Siyo powa mzee, naona uchawi wenu umeanza kulipa.
Mkuu umesema sahihi kabisa ila kuna jambo moja unalisahau.. Hao MF wetu wasipo dictate mchezo unadhani hao LB na RB watapata wapi huo uhuru wa kupeleka mashambulizi...Mimi nahisi kama mnaelekeza lawama zenu kusiko.
Kevi De Bruyne anachukua tuzo ya mtoa assisst anayemfuatia ni Trent, liva kama Bayern, Madrid na timu nyingi siku hizi zinatumia attacking fullbacks. Na liva hua haitegemei kiungo kucreate chances au hata kufunga magoli.
Ndiyo maana Gini akiwa timu ya taifa hua ni scorer na assisster mzuri tofauti na akiwa liva. Mid ya liva kazi yake ni kusapot defense na kutibua mipango ya wapinzani. Chances atatengeneza Trent au Robrtson scorer atakua Mane au Salah.
Binafsi nafikiri Jota hatokua na consistentcy ya kuscore kwakua liva imetengenezwa scorer kua RWF au LWF. Na kulaumu kiungo kukosa ubunifu siyo sahihi pia kwakua hata usajili wa Thiago haukulenga aje kufanya huo ubunifu.
Akiwa bayern thiago hakua na majukumu hayo badala yake goretzika ndiye alikua ana hili jukumu na uhuru wa kuingia mpaka ndani kwenye boksi. Muda huo thiago anakua nje ya 18 no wonder hana assisst.
So klopp anajua kwake mid siyo ya kucreate chance ila fullbacks ndiyo wenye hiyo kazi. Ukisema mid haina kazi haijaonyesha ubunifu klopp anaona imefanya kazi yake vyema ya kusapot defense ndiyo maana hamjapigwa goli.
Tena usisahau kua, mpaka mwezi wa pili utakua ushakaa nafasi yako ya tatu.
Hao ndio hawafai kabisa.Sasa hivi lolote mtakalosema itaonekana mmepatia, hatamu ni yenu.
Nasubiri kuona nini tunafanya game ya Southampton.
Baada ya kupata taarifa ya majeruhi kwa Jota, nimekata tamaa ya kuchukua ubingwa.
Jota alifufua uhai kwenye mashambulizi, na watu walianza kijituma kwa kuhofia kupoteza namba zao.
Ila sasa hivi ndo tunarudi kwenye uhalisia.
Hao ndio hawafai kabisa.
Sisi tuliwaotea tu.