Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,815
- 33,486
Halafu muda si mrefu tunakutana mwenye nguvu atamuacha mwenziePoleni majogoo , sisi utd tunamfukuza mwizi kimya kimya, kumbukeni tukishinda kiporo chetu tuna-equal points [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kapumbavu kaleTukimuongelega Salah tunaonekana hatumpendi .. .
Aanzie wapi kubebaNiwe mkweli! Mimi sitoumia kwa kukosa Kombe msimu huu kwasababu Performance ya Timu yetu kwa sasa si yakubeba Kombe! Kitakachoniuma ni Manure kubeba Kombe! Bora tu abebe Man City ili Amani itawale [emoji23]
Yaani manyua ndio wabebe kombe? Siamini kwa msimu huuNiwe mkweli! Mimi sitoumia kwa kukosa Kombe msimu huu kwasababu Performance ya Timu yetu kwa sasa si yakubeba Kombe! Kitakachoniuma ni Manure kubeba Kombe! Bora tu abebe Man City ili Amani itawale 😂
Kako bize kupiga picha kwenye miti ya krismasKapumbavu kale
[emoji1751][emoji1751][emoji23][emoji23][emoji23]Kako bize kupiga picha kwenye miti ya krismas
Man u anaweza kaa top after first time baada ya miaka miwili ....Niwe mkweli! Mimi sitoumia kwa kukosa Kombe msimu huu kwasababu Performance ya Timu yetu kwa sasa si yakubeba Kombe! Kitakachoniuma ni Manure kubeba Kombe! Bora tu abebe Man City ili Amani itawale [emoji23]
Jones yuko vizuri sana yule dogoKiungo Hendo, Milner , Jones klop aliamua tuu hii mechi tusishinde halafu sub anakuja fanya timu ina presha, ila yote tisa , kumi ni chance anazokosa Mo Salah, jamaa anaonekana kweli akili haipo Liverpool, ni muda wa shikir au Takumi kuanza huku tukisubiri Jota apone, Salah ni wakula ubao
Kloop.mpuuzi sana kaacha timu yoote ya ushindi nje kuamzake ungo kajaza Waingereza wachovu wote. Yule Curtis Jones ni kuingizwa dakika 10 za mwisho. Gini unamuacha nje. Thiago na Big Shak unamchezesha sunset Milner leo kanitibua sana huyu mjerumani.
He can't be all perfectTukimuongelega Salah tunaonekana hatumpendi .. .
Mkuu kama unaujua mpira kikosi kilichoanza cha Curtis Jones huku ukiwaacha akina Ox, Gini, Shaq nje ulitegemea ushindi. Makosa ya WBA ndio hayo hayo karudia jana. Shida JK anacheza mpira kusikiliza media za UK.Mkuu vip mngeshinda?
Hv Curtis jones alifel wap kwenye mech ya jana kama kiungo??naomba muongozoMkuu kama unaujua mpira kikosi kilichoanza cha Curtis Jones huku ukiwaacha akina Ox, Gini, Shaq nje ulitegemea ushindi. Makosa ya WBA ndio hayo hayo karudia jana. Shida JK anacheza mpira kusikiliza media za UK.
Mbona man utd wanashinda sana away?Kushinda Away ni moja ya kitu kigumu sana Msimu huu
Uliona ubunifu wowote wa kulink timu. Halafu fuatilia sana michezo ya nyuma siku Jordan na James wakiwekwa katikati timu inakuwa haina ubunifu kbs. Curtis kumbuka pia ni under 20 ya LFC, hauwezi kuacha senior kama Gini ama Ox. Hakuwa na utengenezaji mzuri jana wa daraja la kulinkHv Curtis jones alifel wap kwenye mech ya jana kama kiungo??naomba muongozo
Kupanga timu huangalii kushambulia tu unaangalia na kushambuliwa pia......japo kumuanzisha milner jana hakukuwa na umuhim wowote coz newcastle siyo timu ya kuishambulia liverpool ila kwa jones hakuwa na shida kwa sababu chances zilitengenezwa na ndo kazi ya viungo hiyo kutengeneza chancesUliona ubunifu wowote wa kulink timu. Halafu fuatilia sana michezo ya nyuma siku Jordan na James wakiwekwa katikati timu inakuwa haina ubunifu kbs. Curtis kumbuka pia ni under 20 ya LFC, hauwezi kuacha senior kama Gini ama Ox. Hakuwa na utengenezaji mzuri jana wa daraja la kulink
Unakubaliana na Big Sam kwamba Klopp ni average?Klopp kuna muda anakuwa HOPELESS most USELESS Manager kabisa kwa vitu vya KIPUUZI
Aya..wewe una droo tu na vitimu vidogo huku unasema United hawezi kubeba..Tutaona at the end of the seasonAanzie wapi kubeba
Hana huo uwezo
BossAya..wewe una droo tu na vitimu vidogo huku unasema United hawezi kubeba..Tutaona at the end of the season