Misimu iliyopita ilikuwa Origi hata umuingize dakika 5 za mwisho Impact yake ilikuwa Mpinzani maji anaita mma.
Lakini sasahivi kufanya Sub ukamuingiza Origi Basi unatamani angetoka mtu na asiingie yeyote. Jamaa kachuja hafai hata kuugusa mpira basi anatimiza dakika 5 hajaugusa.
Bobby ana misumari ya kiafrika Yani.
Keita ni gemu 3 nadhani gemu ya Manchester United atakuwepo...Tusidanganyane! Kwasasa Mido ni:-
Gini - Hendo - OX
Keita na Thiago ni Mungu tu ndiye anayejua watarejea lini.
Kama vile shot on target zilikua mbili tu jana...Sidhani kama mimi nimetofautiana mtazamo wa kpira na wewe ila nahisi tumetofautiana uwasilishaji wa maoni.
Sitaki niwatupie lawama hao as a scapegoats tu na sio kwamba hawakufanya makosa in general.
Jana makosa yalikuwa kwa Front 3 yote kwani haijafanya serious attack yoyote coz hata lile goli la MANE walikuwa wanazurura tu mpaka uliona kuwa ni mpira mrefu uliopigwa kwa ufundi mkubwa na Mchezaji ninayemkubali kupita maelezo Jo Matip, sio Fair kumtupia Zigo Salah as Salah kama wengine walivyo mpoint.
Ukiangalia kwenye Mido Hendo na Gini ndani ya Dakika 90 basi sijaona cha mana walichokifanya zaidi ya kurandaranda tu, so, kumpoint Jones peke yake kwasababu tu kosa lake la kimpira lilizaa goli hapo Dogo tunamuonea.
Hivyo ni Timu nzima ukitoa Mabeki wote 4 na kipa basi imecheza Vibaya na ndiyomana lawama zinabidi ziende kwa wote na si kwa Jones, Salah na Gini.
Sio. Nzuri sana kwa upande wetu tulio topSasa hizi draw zimeshakuwa shida
Kai ni Nusu ozil nusu Balack mda utaongea.Katika Sajili mbovu na za hasara kuwahi kufanyika Msimu huu ni Kai Harvertz.
Yani wamepigwa mchana kweupeeeee
Liverpool FC on Twitter:
#LFC has appointed Dr Andreas Schlumberger as head of recovery and performance. This newly-created specialist role will support and work in close collaboration with the current performance, medical and rehabilitation leadership.
Nahisi utakuwa una mchukia tuu kwa michango yake .....ukisoma bila mihemuko ni wazi utaona nae amejikosoa kwa kumkosoa HendoTatizo lako unadhani huwa hujawahi kukosea na hutakiwi kukosolewa.
Sasa kama tusome halafu tusijibu umemuandikia nani?
Umetaja wengi wakosoaji ila umejisahau wewe pia nasi tunakukumbusha.
Unajikutaga kama vile huu Uzi ni wako
Takataka
Nahisi utakuwa una mchukia tuu kwa michango yake .....ukisoma bila mihemuko ni wazi utaona nae amejikosoa kwa kumkosoa Hendo
Yaani sisi tulimshindwa kabisa? Ona wenzetu wanavyojikamulia? Yaani mpaka half time keshakula 4G wakati sisi wajinga tulikuwa na on target 1 tu! Leo atapigwa hata 7Westbrom kashakula 4 huko
Liverpool tuna shida kubwa sana.Westbrom kashakula 4 huko