Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Man this beast when we played Porto during that season UCL did show composure and we were rumoured to have shown interest back then only for the young Samba boy to choose Real Madrid and with a hefty price tag over £40m Porto demanded and they got thier man....Mike Edwards is looking at Elder Militao..
What are your opinions?
John Stones has surprised me this season.. Thought his Citizen career was heading south....Best passers this season
Thiago amecheza dk chache sana..
Look at Keita, imagine kama angekuwa injury free..
Gini is in there too..
Our boy Curtis Jones in the mix too.
View attachment 1658481
Its a cool happy Xmas man...I wish all Liverpool fans the best and Mery Xmas to all
Bedok Singapore
Hahaha kaona Ole ni kama ameshapata winning formula hivyo upo uwezekano hio kazi ya Manchester United akaikosa..Pochettino to PSG.
Interesting.
Ngwaba, vipi tena? ongeza nyama nyama basi.....!
Si umeona mwenyewe! Jamaa kaimuka tu from nowhere bila ya kusoma kilichoandikwa akaanza kushambulia tu tena katika sehemu ambayo hakuna anayejali kwa anachokiandika mana hakuna anayesoma post zake kwa kutafuta Contents bali tunasoma kujua tu kama leo upumbavu wa Mwandishi umeongezeka au kupungua kwa kiasi gani.
Uhakika wa Gini kusepa ni Mkubwa that's why Jones anapewa more minutes.
Sasa iwapo atasepa Mido yetu itakuwa:-
Jones - Fabi - Hendo
Au
Keita - Fabi - Hendo
Note: Hapo ni baada ya VVD kupona
Tuachane na huyu kwanza, hivi Ngwaba hawa Man Utd unawaelewa kweli!
Huku mtaani nina jamaa zangu naona wananijambisha jambisha na hii timu yao, naona kama wana dalili za kusumbua msimu huu.
Game yetu tutawafunga?
Thiago vipi?
Mfano tukiwa na Thiago, Keita, Fabinho, Jones na Hendo wazima regulars watakuwa kina nani hapo.
THIAGO sijamueka kwasababu nina mashaka na uzima wake
Mimi kitu pekee ninachokiamini kinaleta mafanikio kwenye mpira ni Consistency.
Timu yetu kwa misimu hii mitatu (nimeinclude na ule wa 2018/19) ni most Consistent kwenye EPL.
Sasa hawa Manure shida ipo kwenye Consistency wacha tuwaangalie mpaka February.
Kuhusu kuwafunga wao siwezi sema kwani Mechi yetu na wao huwa haitabiriki, kitu pekee ninachoweza kusema ni kuwa hawatotufunga Anfield.
Draw ndiyo utabiri wangu
Lakini iwapo Thiago atakuwa Mzima na Keita atakuwa Mzima basi Mwenye Uhakika wa kucheza kwenye Mido kwa 100% Fabinho peke yake.
Thiago, Keita, Hendo, Jones, OX wote watacompete namba.
Upumbavu wake umeongezeka maradufu aisee.Si umeona mwenyewe! Jamaa kaimuka tu from nowhere bila ya kusoma kilichoandikwa akaanza kushambulia tu tena katika sehemu ambayo hakuna anayejali kwa anachokiandika mana hakuna anayesoma post zake kwa kutafuta Contents bali tunasoma kujua tu kama leo upumbavu wa Mwandishi umeongezeka au kupungua kwa kiasi gani.
Na kwako pia copKheri ya krismasi kwa wote....
YNWA