Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

umesahau factor muhimu, hawajapata majeruhi serious msimu huu........


,,,,,,,subiri this festival season wapate majeruhi hata 2 tu za bruno na rash tuone
 
mkuu nafurahi sana mtu anapoandika un-popular opinion kama hii hasa wakati huu ambao dunia imekua brainwashed na propaganda za hovyo hovyo mpk kwenye soka!


mimi huwa najiuliza sana hata hapa jukwaani, vile tunavyomvaa Keita kwa majeruhi na kumkatia tamaa wakati hapo hapo kuna mtu kama OX ambae ni prone kuliko hata Keita lakn he is getting a free pass!........ bad enough OX sio talented wala hana cha ajabu kumzidi Keita!


nimekuelewa sana kwenye factor ya him being a Muslim kumnyima baadhi ya recognition ambazo anastahili,...... a player of color &Muslim.....woooh
 

Ni swala la muda tu mkuu.anaejua mpira hawezi kubeza hata kidogo mkuu.

Kubadilisha makocha mara kwa mara inachangia kuchelewesha mipango.liverpool walimpa klopp mkataba wa miaka 6,watu walishangaa na kulaumu.
 
umeanza lini kushabikia Spurs? mbona Poch alifanya vizuri na kikosi hicho hicho?


tena Mou ndio kasajili zaidi,
 
umeanza lini kushabikia Spurs? mbona Poch alifanya vizuri na kikosi hicho hicho?


tena Mou ndio kasajili zaidi,
Kikosi hicho hicho maana yake nini? Huwa napendelea mijadala hai kuliko mfu. Ukishaanza kuniambia Dele Alli wa mwaka juzi ndiye huyu wa mwaka huu naanza kupata shaka kama tuna mjadala wowote wa maana. Sissoko, Moura, Dier, Lamela wa mwaka juzi unawafananisha na hawa?

Nieleweshe vema maana ya Pochetino alifanya vizuri na kikosi hiki hiki ikiwa kilikuwa pointi 3 karibu na relegation zone, na pointi 12 kutoka top four wakati Jose anakichukua. Leo mwaka mmoja mbele Spurs iko nafasi ya ngapi? Ni pointi ngapi nyuma ya kinara wa ligi?

Ngoja nikupe dondoo kidogo. Ni hivi, Spurs ilianza kuzeeka baada ya era ya akina Wanyama, Dier, Sonny, Dele Alli kuishiwa mafuta. Ilikuwa dhahili kuwa timu yapaswa kuingia kwenye project mpya (overhaul). Huo huwa ni wasaa wa timu kuangalia pia ikiwa itaendelea na kocha aliyepo au inahitaji kocha mwingine.

Ni kama Liverpool na City walivyofanya miaka 2015 na 2016 mtangamano. City walijua zama ya akina Toure inafika mwisho. Kocha aliyekuwepo aliwapaa epl 2 lakini wakaona project mpya ingemhitaji Pep.
 
Read my article again, vizuri.

and, learn more about racial profiling.
 
Ni kwasababu watu wanabeba kila kitu ambacho wanakisoma kwenye hizi biased medias.

Mfano mdogo tu, Lallana alikuwa na tatizo kubwa sana la injuries, but treatment yake ilikuwa tofauti kabisa na anayopata Keita now, Keita amekuwa mpaka racial abused na LFC based jornos (especially Ian Doyle)..

The club did a media-tribute kwa Lallana, but hawakufanya chochote kwa Sturridge wakati yeye ndiyo alikuwa na mchango mkubwa sana na hii CLUB.

Lallana ameifanyia nini hii CLUB?
 
Thanks Kwa kuelewa context

Kuna maupumbavu mengi Sana yanaendelea kwenye English trash na Sisi tunameza Tu

Upuuzi mtupu huko England, no wonder they don't win big with their national team
 
So, if Gini wont sign his new Contract by March/April, hii itaamanisha ataondoka for free in the summer.

Milner will surely leave in the summer (if not, atabaki na kuwa player-coach)..

Salah is 50/50..

Adrian will 100% leave..

Shaqiri will 100% leave

So, kama tutazingatia hizi consideration, ni kuwa 6-7 first squad players will leave, and they will need to be replaced.

Pia, nadhani kama zikija good offer kwa Keita & Ox, we will sell them right away.

Next summer, will be very important kwa muelekeo wa Club.
 

Very tricky, and with covid-19, pesa hakuna

We must do some deals in January and get some key deals in Jan, or at least look for a few free agents

Remember naby, thaigo are injury prone, Curtis is still.ypung, Hendo is old and faby can also be injury prone

Goma gumu
 

Kuna namna namwona Sadio Mane akituacha, jamaa haongei lakini kwa mwonekano tu anaonekana hana furaha kabisa.

Kati ya watu natamani kuwaona wakiwa mahali wanakotakiwa kupewa thamani ya wanacho-offer ni Sadio, jamaa anafanya zaidi ya tunachomwomba kufanya lakini bado sioni kama anapata recognition in same way.

Nikilinganisha yeye na Salah, naona kuna namna Salah anaweza kuji-express kama kitu hajakipenda na hiyo walau inakuwa inampa favor kiasi, sikuwahi kujua kuhusu kile ulichoandika kwamba hawi favored na timu na medias ambazo ni team related.

Hawa jamaa ndiyo injini kubwa sana ya timu, lakini tunavyowatendea kuna muda hadi huwa nawaza ujinga tu kwamba Sadio Mane aondoke akainjoi maisha kwingine.
 
We will buy a CB in january, and i think itakuwa our only signing.

BUT, kwa departures za Summer, tutahitaji big budget ili kuweza ku-rebuild au kuendeleza tulipoishia, so kama Madrid/PSG wakija na good offers kwa kina Salah/Mane (especially Salah) we will Sell, na kutumia hiyo hela ku-cover some areas (2 attackers, MF and an extra full back)

Sasa kwa upande wa attack, tukikosea katika suala nzima la replacement, we will be doomed forever.
 
Man, ndiyo maana kwenye article yangu, nikasema MANE ni topic ya siku nyingine.

People actually dont know, kuwa kipindi kile ambacho Messi alimpigia kura za FIFA best men award na BDO, Mane alikuwa mad dhidi ya Club kwa kushindwa kum-market vizuri through Club's media PR, he thought the Club didnt do enough for him and he was right.

Suala la Mane ni la siku nyingine, BUT these dudes are not appriciated well enough, na kama watu wanafikiri kina Sancho watakuja na kuweza ku-replace output za hawa monsters, then they're so wrong.
 

Nimekupata mkuu, I hope that topic comes soon.

Tunaisubiri.
 
Sancho is another product of British media balloons
 
Klopp collapsed at Dortmund, siyo kwasababu ya injuries, but ni kwasababu ya kina Zorc kuuza his star-players.


Sir Alex Ferguson, managed to run the PL kwa ku-tie down his star-players na kuongeza new faces every summer, na ndiyo maana hata ilipofikia kipindi cha hawa star players ku-move on hizi new faces zilikuwa tayari zisha-adjust vizuri.

Pep ana-struggle now because alijisahau kwenye adjustment process ya his Squad, we have been on TOP of the food chain for 2 years na bado hata hatujaanza rasmi adjustment plans and mtu anakwambia uza tu Salah.

Salah/Mane are not bigger than the CLUB, but they're the HEART of the Club right now, if we want a longer phase at the top, we need to keep them for at-least 2-3 years, huku tukifanya adjustment plans, but kama tunataka shortcuts, then we should sign world class beaters to replace them right away, which is tough kutokana na policy ya FSG na our financial structure.
 
Uzuri business model.ya LFC ni zaidi ya manager

Only one will be allowed to leave in one window, and replacements zinakua zimetengenezwa...

Commercially, you'd make more money with Salah so he is more likely to start leaving
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…