Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi mpaka sasa kwa tathmini nani aliyeko hapo chini...tunaweza kusema ni title contender.....[emoji23][emoji23]
Man u wameshinda jana wanajifarijj wanakimbiza mwizi kimya kimya....
 
Put forth some words about Red Devils from Old Trafford
 
Hivi apart from ku assist huoni Mane anavyojitajidi ku create magoli? Anaweza aka assist mwingine lakini Mane binafsi namkubali anavyopambana uwanjani,
Hao ndo wale ta10 bonge lamchezaji kisa kafunga na dakika zote anazurula tu.

Kuna mtu kamsifia Chmbalin ha ha haa Keita wala haonekani
 
Umenena sawia kop
Tuacheni porojo salah ni wamuhimu sana kwenye timu kuliko hata mane
Kama kila mchezaji akitaka kutengeneza takwimu inawezekana mbona mbona ila ndo tutafungwa na mpka lipuli.
Mfano mechi na Fulham kipindi cha kwanza muangalie alivokua anacheza Mane na Gini
Watu wanaopambania tim ishinde mnawachukulia poa.

Hivi ushafatilia mechi anazokosekana Mane na anazokosekana Salah
 
Shida ni ukapten si akavae wa kwao
 
Team imejengwa na Klopp na sio Sala kama vipi atembee tu waibuke wengine
 
Hao ndo wale ta10 bonge lamchezaji kisa kafunga na dakika zote anazurula tu.

Kuna mtu kamsifia Chmbalin ha ha haa Keita wala haonekani
Takumi is a very good player, he's just put of sync with his new team... No doubt he is worth more than 7m quids we paid for

Naby ni classy, unfortunately no injury prone

Ox is typical English player, dedicated, good workrate and can shoot from a distance

You can't compare with zile ndidizzz za asses
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…