Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hawa waarabu wasituzingue. Kama hana raha asepe tu. Liver taasisi kubwa hatushindwi kumpata mbadala.
Kustaafu kwa Gérard ndo kitu PEKEE kilinifanya nihisi Liverpool imekufa. But look at it now prosper and shinning like never before. So if he is not happy he should get the *** out.
 
Michael Edward.....Namuamini sana kwenye issue kama hizi,Huwa hafanyi makosa.
 
Huyu anatafuta mkataba mpya ndugu hana kingine...

Hii ni mbinu tu.

Yeah Steve ilikua hofu bila muokozi wetu kamanda nguli tungesimama vipi na hakika tupo imara zaidi kwani kikosi kimejengwa ki timu zaidi bila kumtegemea mchezaji mmoja mmoja...

YNWA
 
Michael Edward.....Namuamini sana kwenye issue kama hizi,Huwa hafanyi makosa.
Edwards the genius...

Muda utasema...

He makes around £10m kwa mwaka ni ela nzuri sana...

Mkataba wake unaisha 2023 na hauna release clause which makes the club to have an upper hand in any future interest from other clubs ...


YNWA
 
UTABILI
Mpaka mwezi wa pili mutakua mupo nafasi ya tatu.
Nahii nafasi (ya tatu) ndio nafasi yenu kwa msimu huu.

NB: Niko tayari kubeti na mtu alie tayari.
 
Man United bana, hizi kelele zilipotea sana, naona zimerudi.

Mna game na Leicester Jumamosi tar 26, baada ya hapo Wolves.

Hizo zikiisha mdomo utakuwa umepungua.

NB: Tar 17 January uko Anfield.
Baada ya tarehe 17 January ndipo Liverpool anaenda kukaa rasmi kwenye nafasi ya tatu.
 
Man United bana, hizi kelele zilipotea sana, naona zimerudi.

Mna game na Leicester Jumamosi tar 26, baada ya hapo Wolves.

Hizo zikiisha mdomo utakuwa umepungua.

NB: Tar 17 January uko Anfield.
Epl chance not taken is game lost.. Jana Leeds had thier chances....

Manchester United are still vulnerable at the back now vs sharp clinical forwards ndio wataumizwa...

YNWA
 

Propaganda na Rumours za AS unamshambulia mchezaji?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…