Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahaaaa..... shubaaaamit!



Captain Marvelous
 
Jose na Spurs tulishawalegeza ndugu hahaha....

Eti nao ni serious contenders...

Wanahitaji to borrow a leaf from Klopp and his boys...

EPL msimu huu ndugu M-mbabe imekua na matokeo yasiotarajiwa kabisa...

Ninavyoona mimi bado Manchester City is the team to beat followed by Chelsea follwed by Manchester United followed by Tottenham...

YNWA
 
Mkuu tangu ametua Klopp hakuna mchezaji aliejoin kwa ajili ya apate zaidi kuliko alipokua wengi wamejiunga nasi kua sehemu ya Klopp Liverpool revolution na wamefanikiwa kwenye hilo ndugu kwani tumeshaheni ma trophy ya kila aina...

After all the hard work man its normal kua rewarded as per thier performance maana the more the trophies won the more the cash the club is making...

Nilisema tulishapita kule ambako wachezaji walikua wana dictate our progressive trend na sasa tupo zama mpya kabisa with Klopp being the system and his coaching team they have and are doing a wonderful job... Hivyo ukiona mchezaji analipwa all the big chums basi ujue Klopp is at peace na hilo..

Haya ya Salah hakuna mahala aliposema anaodoka kwa vile analipwa chee... Tunajiuliza between the lines je kuna nini mpaka kutoa hizi kauli je anataka new laoded contract ama new challenge and whatever the reason he has every right sababu umri nao umesogea...

Muda utasema...

Ya Gini bhana at 30 umri unamnyima a very important bargaining tool... Sasa unaweza kuta na Salah anatumia hii experience ya Gini kama stepping stone to demand more the earlier the better...

Tuwe na subira...

YNWA
 
Mane na salah nani anaongoza kwa assist?

 
Edwards huyu huyu ndio wa kuongeza mshahara atakuwa yupo anatafuta mbadala wake
Edwards ni noma sana aisee... Aache ubahiri atoe mpunga bhana

Ndio catalyst wa hii success yetu..

Na jamaa ni shy to face the media so very rarely anajulikana anakichokifanya...

Combination yake na Klopp is just superb...

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…