Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bwana wee Keita ana ka upara fulani haha ka mwenye miaka 28+🙈🙈🙈🙈

Kwa waafrika bhana sitoshangaa kama kweli sio umri wake ule...

Akasake tonge kwingine pale Anfield pamemkataa...

YNWA


Msikebehi kuandikisha umri wa uongo

We unafikiri akiandika umri wa ukweli ataweza kweli mtu aliezaliwa Afrika kuja kuchezea Rich and big Clubs of Europe ?

Route stations za career of successful African born footballers

African Local big Clubs Scouted form attained at age of 23>>>>Europe feeder Club(eg Basel,Ligue 1 clubs,Portugal primera league clubs etc ) taking you at age of 27 >>>>>Small Clubs of EPL,Bundesliga,La Liga,Serie A etc taking you at age of 29 >>>>>>Big Clubs at the end taking you at age of 32 which means if you are to document your right age and those rich clubs serving started at 32 you will be taking those millionaire of £€ yearly wages for just two years maximum
 
The Boss. Umemuona Gini?
Kachafua vibaya kiungo cha Mourinho.
Yule jama ni bonge la mchezaji kumbe dah.

Kuna wachezaji wanapuuzia baadhi ya mechi mpaka tunapata matokeo mabovu.

Kocha afilie kuwatumia wachezaji wabenchi kwa hizi zinazo puuzwa na hawa wa kikosi cha kwanza natumai watajituma kuleta matokeo.

Yani mechi ya Fulham na mechi ya Totenham ni watu wawili tofauti kabisa
 
Hem muangalie mechi na Fulham hafu toa tena ushauli
 
Bwana wee Keita ana ka upara fulani haha ka mwenye miaka 28+[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Kwa waafrika bhana sitoshangaa kama kweli sio umri wake ule...

Akasake tonge kwingine pale Anfield pamemkataa...

YNWA
umewahi kumwangalia vizuri mane? tafuta picha zake akiwa Salz uone alivyo........


hata huyu Keita ukiangalia picha zake akiwa kule Salz kabla hajaenda Leip utashangaa
 
Ila wadau tuongee tu ukweli... Hivi hii ndoo ya epl tunaweza kuibeba... Vipi na klabu bingwa gemu yetu na liepzig
 

Mpaka sasa nadhani ndio amecheza mechi zote,nakucheza mechi zote pia inaonesha umuhimu wake.

Maana wengine wako bench hawapangwi anapangwa yeye kila mechi lazima awepo tu.
 
Game moja mnashangilia as if mmechukua epl

13 match out of 38

Achen mawenge
 
Alisson
Alexander-Arnold, Ramos, Van Dijk, Davies
Thiago, De Bruyne, Kimmich
Messi, Lewandowski, Ronaldo

FIFA have named their Men's #World11. Would you make any changes?

#FIFAFootballAwards
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…