Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Anfield tutafungwa na timu za mid na lower table, siyo Big 6!
Mourinho kiukweli amekwisha
Leo ndo nimethibitisha..
Kaja na mbinu zile zile za miaka yote
Kuvizia vizia..rafu.nyingi..

Kama second leg tukiwa na Jota,Thiago..
Halafu fabinho akae kati?Tuwe hata na matip nyuma na huyo dogo? Tunaweza mpiga hata
4-0
 
Jota/Thiago au Jota/Keita (kama akiwa mzima), mechi inaisha first half.
 
Kuna chances mbili, moja mwamba na ile open header ya Kane, tungepoteana pale.
Hongereni kwa ushindi mzuri tena ulioendeleza historia ya kutofungwa Anfield, kwa mpira mliocheza leo hii mkishinda mechi 5 mfululizo hakika ubingwa ni wa Liverpool FC bila kinyongo.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa namuhesabia misimu mitatu tu (kama uhai wenyewe tunao) lazima aje na Id nyingine na kuishabikia Manchester United.
Ha ha haaa. You don't know me man. Mimi siyo shabiki maandazi.
 
Hongereni kwa ushindi mzuri tena ulioendeleza historia ya kutofungwa Anfield, kwa mpira mliocheza leo hii mkishinda mechi 5 mfululizo hakika ubingwa ni wa Liverpool FC bila kinyongo.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app

Asante mkuu, uwezo wa kushinda game 5 mfululizo haupo kwa msimu huu, kwa timu yoyote ile.

Tutaunga unga hivi hivi tu.
 
Mourinho kiukweli amekwisha
Leo ndo nimethibitisha..
Kaja na mbinu zile zile za miaka yote
Kuvizia vizia..rafu.nyingi..

Kama second leg tukiwa na Jota,Thiago..
Halafu fabinho akae kati?Tuwe hata na matip nyuma na huyo dogo? Tunaweza mpiga hata
4-0
Mkuu Morinho hajakwisha ..kazidiwa mbinu...
Mpe credit JKlop ina maana hujamuelewa tu jamaa akiamua kutumia akili zake zote hata unaemuamini wewe anakaa..
Ila kumbuka ,pale ni Anfield bro.
YNWA
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…