Leceister kakaaa ,wolves kakaa nakuhakikishia tot naye anakaaNawaza Nawaza Defence ya kumzuia SON & KANE kwa sasa hatuna ni kuomba tu ALLISON atubebe na sio vinginevyo, Wakati huohuo Front 3 yetu kwa sasa imeisha uwezo wao wa kuibeba timu umepungua.
Nawaza Nawaza Defence ya kumzuia SON & KANE kwa sasa hatuna ni kuomba tu ALLISON atubebe na sio vinginevyo, Wakati huohuo Front 3 yetu kwa sasa imeisha uwezo wao wa kuibeba timu umepungua.
Wakati mwingine Klopp sijui hua anaamka na mabavaria kichwani...Uzembe wetu Tu
Leo ilikuwa Chelsea anajiondoa kwenye race
Anabaki gombea top four
Na kesho ingekuwa tunamtoa spurs..
Tume boronga Sana na Fulham..
Na makosa yalianzia na kuweka kikosi
Champions league..mechi ya mwisho..
Hahaha on paper upo sahihi ila sasa utekelazaji uwanjani inakua tofauti ndio maana unaona Barcelona wapo nafasi sijui ya 7 hukooo na Messi wao....Nawaza Nawaza Defence ya kumzuia SON & KANE kwa sasa hatuna ni kuomba tu ALLISON atubebe na sio vinginevyo, Wakati huohuo Front 3 yetu kwa sasa imeisha uwezo wao wa kuibeba timu umepungua.
Pep ule upara walahi msimu huu hautaota nywele tena hahaha....Matokeo ya Man City jana yanapaswa Kuwa fundisho kwa baadhi ya Washabiki wenzangu! Msimu huu unajambo kwa Timu kubwa zote.
Njia pekee ni kuservive at the top of the table angalau mpaka February hapo naamini hatotokea tena mwengine wa kutuondosha kileleni.
Moja haikai mbili haikaiPep ule upara walahi msimu huu hautaota nywele tena hahaha....
Yale matokeo ya mfukoni wala hayapo tena this time...
YNWA
Matokeo ya Man City jana yanapaswa Kuwa fundisho kwa baadhi ya Washabiki wenzangu! Msimu huu unajambo kwa Timu kubwa zote.
Njia pekee ni kuservive at the top of the table angalau mpaka February hapo naamini hatotokea tena mwengine wa kutuondosha kileleni.
Mkuu pancho boy nipo salama kabisa ndugu shukrani sana kutukumbuka aisee..Wakuu
Captain Marvelous ,Don Clericuzio ,
Na yule jamaa etu mbishi mbishi King Ngwaba ..
Nmewakumbuka ndugu zangu
Kwema humu kwetu?
Kumbe ndo maana nikaona mtu mbishi mbishi kumbe ndo yeye?Mkuu pancho boy nipo salama kabisa ndugu shukrani sana kutukumbuka aisee..
King Ngwaba sana anapatikana kwa jina la Ibn Shaame...
YNWA
Hahahaha ndio mwenyewe huyo kaja na moto kama Jota ππππ...Kumbe ndo maana nikaona mtu mbishi mbishi kumbe ndo yeye?
Hahahah ndo maana nikasema mgeni gani huyu maelezo mengi hivi?Hahahaha ndio mwenyewe huyo kaja na moto kama Jota ππππ...
YNWA
Epl tumechezea kwa Villa tu hivyo ni kutafuta mfumo wa kusaka ushindi ugenini hilo tu tutakua mbele mno..Ni shida mzee, ukiangalia msimamo ulivyokaa unaona team kibao zimejazana kwenye 20 to 25 points.
Halafu ni ligi zote kubwa ulaya, imagine mpaka Bayern na Juve wanajambishwa huko kwao, PSG, Barca na Madrid nao wanakimbizwa kimbizwa.
Mpaka UEFA kuanza tena tutakuwa walau tuko level, maana hizi timu zingine zilikuwa na mapumziko hivyo zinawakazia wakubwa, sasa tunauanza msimu ambao sote tutakuwa kazini muda sawa. Labda hiyo itatutofautisha.
Hahaha bwana wee ndio King huyo ndugu...Hahahah ndo maana nikasema mgeni gani huyu maelezo mengi hivi?
Sema bro mourinho anakuja kwa kasi sana
Wale waliosema ameisha sijui watasemaje?
Jota naskia kaumia kaka?
Akawatwanga man u kwa hasira sana kuwaonyesha bado ana hasira naoHahaha bwana wee ndio King huyo ndugu...
Mourinho ni top coach na alisuka upya wasaidizi wake wote baada ya kufeli Manchester United akaona apate ma assistant damu changa na wenye ideas mpya achanganye na zake na kweli imemlipa aisee kama unavyoona walipo kwenye msimamo...
Jota nje wiki 6 maximum ndugu na ni pigo maana hawa waliobaki bhana ni kama bado wapo dry spell hivyo tunaomba pengine leo waanze kutuletea ushindi...
YNWA
Kumbe ndo maana nikaona mtu mbishi mbishi kumbe ndo yeye?
Jasiri haachi asili ..hahahKwenye Debete za Shule siku zote nilikuwa Opposer Specialist ππ