Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,024
Mashaniki wenye mahaba walikuwa wanashangilia tu jana Vidume Chelsea alipofungwa 1-0 kumbe na wenyewe ni sawa na watoto tu hawawezi kulala na hela hahaaaa...Nilipoona Chelsea kapigwa, nikahis kale ka ugonjwa ka wiki ya wakubwa kuzingua kamefika. Man U na City droo nikawa na 50%. Droo ya Spurs ikanipa 80% ya ama liver kupigwa au droo.
Wiki ya hovyo kabisa hii[emoji34]Mashaniki wenye mahaba walikuwa wanashangilia tu jana Vidume Chelsea alipofungwa 1-0 kumbe na wenyewe ni sawa na watoto tu hawawezi kulala na hela hahaaaa...
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Hao jamaa wana kelel sana yani jana nilikuwa najitahidi kuwavumilia lkn wapi, sasa ndipo wanaanza kuelewa kwanini epl huwa haina cha ball possesion wala more strikers linapokuja swala la mechi.Kelele nyingi una draw na Fulham[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
. Ni kweli ila Liverpool c Kama timu zingine kufunga Ni Jambo la kawaida Cheltako kapoteza japo cjawahi kumweka Kama mpinzani wanguLiverpool si mabingwa watarajiwa na wana strikers za uhakika? ilikuwaje hadi leo hii mjikongoje kwa penati pekee?
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Wiki ya hovyo kabisa hii[emoji34]
Bora Chelsea, Man U, City na Spurs wamecheza na strong clubs
Huyu Liverpool anaitafuta draw kwa relegation!!![emoji35]
Hao jamaa wana kelel sana yani jana nilikuwa najitahidi kuwavumilia lkn wapi, sasa ndipo wanaanza kuelewa kwanini epl huwa haina cha ball possesion wala more strikers linapokuja swala la mechi.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
AMINA.Manapoona
Man City ana draw
Spurs ana draw
Chelsea anapigwa
Msije mkadhan nyie ni special sana
Mungu ni wetu sote
Hii Dunia ni ya wote
Maombi yangu yametimia,
Asante sana mwenyezi Mungu
Endelea kutenda miujiza hadi jumatano
Kampe nguvu SON Kama za samson ,akawapanue pale anfield Kama alivopanua mdomo wa simba
Wote tuseme Amina...!
Goodison park nimoja kati ya viwanja vigumu kwa chelsea kupata matokeoYaani unalinganisha Chelsea aliyepata 0 point na Liverpool aliyepata point 1?
Hiyo timu iliyomfunga Chelsea sisi tumepata point 1 pia kwenye huo uwanja.
Goodison park nimoja kati ya viwanja vigumu kwa chelsea kupata matokeo
Kuna muda ana act Kama mjinga aiseeNi bora angeumia kwenye mazoezi au mechi yenye umuhimu nisingelaumu lakini ameumia kwa kuchezeshwa dk 87 kwenye mechi iliyokuwa useless kabisa
Amefanya utoto aiseeeKlopp alimchezesha hivyo ili amalize dakika 90, akimaliza dakika 90 maana yake game ya leo Firmino anaanza, na Jota anakaa benchi.
Ni kama alikuwa na plan ya kumpunguza spidi ili Firmino aendelee kuanza, maana alishaanza kutishia namba.
Hata siku ya Wolves nilishangaa hakumwanzisha, uzuri tulishinda.
Klopp amekipata alichokuwa anakitafuta, front 3 yake imebaki salama. Ngoja tuone itatupa matokeo gani.
Wala sinaga hii tabia ya kuja kwenye majukwaa ya wengine lkn uliponiambia kuwa hii ni open forum ilihali Chelsea ikishinda hamuonekani kule nami nikaamua niunge mkono juhudi zako Chifu hahaaa...26 next matches are still downloaded there to realize which team is deserved to the new champion of epl 2020-2021, namwomba MUNGU atujalie uzima zaidi.Hahaha, ulipanic sana jana baada ya kufungwa.
Ligi ngumu sana hii, leo ilifika sehemu nikatamani tupate sare tu.
That is why the EPL is obviously seen as too difficult comparing to the other European countries leagues, hence it does not take the big team as the most catalyst reference to win every small team and vise versa is true.Wiki ya hovyo kabisa hii[emoji34]
Bora Chelsea, Man U, City na Spurs wamecheza na strong clubs
Huyu Liverpool anaitafuta draw kwa relegation!!![emoji35]
Kufunga kawaida kwa penati tu tena ya magumashi?. Ni kweli ila Liverpool c Kama timu zingine kufunga Ni Jambo la kawaida Cheltako kapoteza japo cjawahi kumweka Kama mpinzani wangu
Usijisahaulishe kuwa huyo huyo Everton ndiye anayekunyimaga usingizi kuliko tim zote pale EPL na bado yajayo yanafurahisha kwa mechi ya marudiano, ni heri ukitunza akiba ya maneno Chifu.Yaani unalinganisha Chelsea aliyepata 0 point na Liverpool aliyepata point 1?
Hiyo timu iliyomfunga Chelsea sisi tumepata point 1 pia kwenye huo uwanja.
Usijisahaulishe kuwa huyo huyo Everton ndiye anayekunyimaga usingizi kuliko tim zote pale EPL na bado yajayo yanafurahisha kwa mechi ya marudiano, ni heri ukitunza akiba ya maneno Chifu.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Hahhaa mkuu sory nimeingilia mada kwan liva akicheza UEFA na EPL anakuwa tofauti?Nimepata point 1 kwenye uwanja wake, ambapo wewe umepata 0.
Next game yeye atakuja Anfield, uwanja ambao sijafungwa inaenda mwaka wa nne sasa kwenye EPL, akija atafungwa.
Wewe pia una point zangu 3 za round ijayo, maana round hii umeshanipa.
Wala sinaga hii tabia ya kuja kwenye majukwaa ya wengine lkn uliponiambia kuwa hii ni open forum ilihali Chelsea ikishinda hamuonekani kule nami nikaamua niunge mkono juhudi zako Chifu hahaaa...26 next matches are still downloaded there to realize which team is deserved to the new champion of epl 2020-2021, namwomba MUNGU atujalie uzima zaidi.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Hahhaa mkuu sory nimeingilia mada kwan liva akicheza UEFA na EPL anakuwa tofauti?
logic yangu ni kwmba anfield unapigika vzr usijitete na EPL yahn si unawakumbuka atletico walivyokunyonyoa in out?
Atalanta mweke pemben hapo.