Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Hello!
Nimeamua kuwatag wale Active members wote wa hii Thread kutambulisha hii ID yangu.
I'm KING NGWABA nimeamua kuja na hii ID ambayo ilikuwa Dormant kwa miaka Zaid ya Mitano tokea niitengeneze May 2015 ni sikuwa nikiitumia.
Nimefanya uamuzi huu baada ya Wiki kadhaa Sasa kushindwa kuingia JF kupitia Akaunti yangu halisi ya King Ngwaba na nimeshindwa kujua sababu ni nini.
Nimejaribu kwenye simu zaidi ya 5 nimeshindwa, nimejaribu kwenye Computer nako nimeshindwa, nahisi VPN nilizokuwa natumia kuna nyengine zilikuwa zinaiba na kublock Account za watu.
So, nimekuja na ID hii as King Ngwaba
Penison
Captain Marvelous
Masamila
DullyJr
zumbemkuu
Don Clericuzio
Baba Swalehe
Manga ML
BARDIZBAH
BAKOI
nguvu
Bengalisis
Ndio maana huwezi kuacha PUNYETO.
Baada ya Chelsea kuchoma jana kwa Everton, leo Tottenham, Liverpool, Arsenal na Leicester wako uwanjani.
Je, kuna atakayechoma?
Kwa shauku ya kutaka kubaki juu Liverpool peke yake, natamani Crystal Palace awapunguze spidi Tottenham. Ili game yetu Jumatano tupanue gap zaidi.
ahahah leo umekuja kwa heshima tutakusikiliza kidogo tunawafunga goli chache tu 3 tena kipindi cha piliEeeeh mwenyezi Mungu
Fanya fanya hawa Liverpool Leo wafungwe au wapate draw, ikiwezekana wapoteze point 3 kabisa
Tazama namna wanavo Press kwa nguvu, huku wakitaka kuchukua epl mara mbili mfululizo huku kuna wengine hawajachukua hata mara moja
Tazama Kama Arsenal anavopata tabu,
Naomba haya yote kwa jina la baba,mwana na roho mtajatifu .amina
Wape fulham nguvu uliyowapa Aston Villa ili wakafanye Kama mapenzi yako
Pole ndugu tumekusoma....Hello!
Nimeamua kuwatag wale Active members wote wa hii Thread kutambulisha hii ID yangu.
I'm KING NGWABA nimeamua kuja na hii ID ambayo ilikuwa Dormant kwa miaka Zaid ya Mitano tokea niitengeneze May 2015 ni sikuwa nikiitumia.
Nimefanya uamuzi huu baada ya Wiki kadhaa Sasa kushindwa kuingia JF kupitia Akaunti yangu halisi ya King Ngwaba na nimeshindwa kujua sababu ni nini.
Nimejaribu kwenye simu zaidi ya 5 nimeshindwa, nimejaribu kwenye Computer nako nimeshindwa, nahisi VPN nilizokuwa natumia kuna nyengine zilikuwa zinaiba na kublock Account za watu.
So, nimekuja na ID hii as King Ngwaba
Penison
Captain Marvelous
Masamila
DullyJr
zumbemkuu
Don Clericuzio
Baba Swalehe
Manga ML
BARDIZBAH
BAKOI
nguvu
Bengalisis
Hivi Mkuu King mbona mimi na wasiwasi na January kama miaka yote ndio hua tunaanza poteana aisee...Ni kitu cha kawaida tu hicho kutokea kwa wachezaji mpira.
Hata Man City msimu uliopita alipitia hichi kikombe.
Nahisi kuanzia Jan tutakuwa sawa
Hawa Spurs tunao Jumatano tena Anfield na tutaelewana tu...Naiyona Leicester ya Msimu uliopita ndani ya Spurs
Pole ndugu tumekusoma....
Bila shaka Adrian kwa sasa mtafutie timu ale kona naona kama vile Klopp kashamchoka...
YNWA
Hahahaha Allison leo naona amerejea mazima...Yani sashivi hata Akiumia Alisson msimu mzima nina amani kabisa as long as Adrian sio chaguo namba mbili tena.
Yani Bingwa Mtetezi anamchomesha 7??? No way.
Hivi Mkuu King mbona mimi na wasiwasi na January kama miaka yote ndio hua tunaanza poteana aisee...
Whats makes this year a bit different na upo uwezekano usajili wa beki usiwepo kwa vile hawa wasaidizi wa academy wame step up...
Time will tell...
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeeeh mwenyezi Mungu
Fanya fanya hawa Liverpool Leo wafungwe au wapate draw, ikiwezekana wapoteze point 3 kabisa
Tazama namna wanavo Press kwa nguvu, huku wakitaka kuchukua epl mara mbili mfululizo huku kuna wengine hawajachukua hata mara moja
Tazama Kama Arsenal anavopata tabu,
Naomba haya yote kwa jina la baba,mwana na roho mtajatifu .amina
Wape fulham nguvu uliyowapa Aston Villa ili wakafanye Kama mapenzi yako
Chamberlain kushaponaaaa...
YNWA
Quality ya vikosi za top 10 ipo zigzag mno...Surely we are not going to see that Christmas rule this season
Hawa Spurs tunao Jumatano tena Anfield na tutaelewana tu...
Kwa Mourinho kama Mourinho atakuja kupaki treni la kuni haha...
YNWA
Bwana huu ndogo tatizo yupo direct mno yaaani aafu habadiliki kamwe injury zake zipo almost uniform...Huyo ana dakika zake 30 tu za kurudi Kitabdani