Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa hiyo Jota kaumia nae tena? Daaah kwani tatizo hasa la injuries pale Anfield ni nini hasa?
Swala ni mazoezi magumu wanayopewa wachezaji? Au ni kuwa na madaktari wabovu hasa wa viungo na mazoezi? Kuna shida mahali hata kama tunasema wachezaji wanaumia kutokana na kucheza mechi nyingi bila rotation hii sio kweli. Kwani hata wachezaji ambao wameingia kwenye kikosi bado wanakumbwa na matatizo kama haya. THERE IS A PROBLEM AT LIVERPOOL.

Sent from my Infinix X608 using JamiiForums mobile app
 
Eeeeh mwenyezi Mungu


Fanya fanya hawa Liverpool Leo wafungwe au wapate draw, ikiwezekana wapoteze point 3 kabisa

Tazama namna wanavo Press kwa nguvu, huku wakitaka kuchukua epl mara mbili mfululizo huku kuna wengine hawajachukua hata mara moja


Tazama Kama Arsenal anavopata tabu,

Naomba haya yote kwa jina la baba,mwana na roho mtajatifu .amina

Wape fulham nguvu uliyowapa Aston Villa ili wakafanye Kama mapenzi yako
 
Ndio maana huwezi kuacha PUNYETO.
 

Ni kitu cha kawaida tu hicho kutokea kwa wachezaji mpira.
Hata Man City msimu uliopita alipitia hichi kikombe.

Nahisi kuanzia Jan tutakuwa sawa
 
Karibu sana Bro,
 
Pamoja sana mwamba na karibu sana
 
Pamoja sana.
 
Wewe dogo acha mawenge
 
Labda wanaumizana makusudi ili wengine wapate namba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…