Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Mbona Spurs mlaini mno au macho yangu labda kama yanaona tofauti na nyie wenzanguTukimfunga spurs basi we can talk about another title
Nimeangalia saa yangu inaniambia saa nane usiku nikafikiri ninaota nipo JF si unajua mambo ya K VANT lakini aya yako ya mwisho ndio imenigutua na kugundua kumbe bado nipo JF ONLINE ki ukweli ukweli(serious serious)Game vs Leicester City na hii ya Wolves zilitegemewa kusumbua, badala yake zimekuwa game nyepesi sana.
Utabiri wangu msimu huu kufungwa Anfield tutafungwa na timu iliyoko kwenye position ya kuanzia 15.
Yaani sasa nimeelewa kwa nini Barca wanamfuatilia kwa karibu namna hiyo! Liver sample chake aisee, he deserves!Bwana wee huyu Gini alitakiwa akutane na mkataba wake wa miaka 3 akitoka hapa uwanjani aisee...
YNWA
Nimeangalia saa yangu inaniambia saa nane usiku nikafikiri ninaota nipo JF si unajua mambo ya K VANT lakini aya yako ya mwisho ndio imenigutua na kugundua kumbe bado nipo JF ONLINE ki ukweli ukweli(serious serious)
Yaani sasa nimeelewa kwa nini Barca wanamfuatilia kwa karibu namna hiyo! Liver sample chake aisee, he deserves!
Kwa hiyo hisia za The Boss zilikuwa wrong!
Bwana Gini sielewi anataka nini kama ni mkwaja wampe tu au miaka minne apewe maama huyo Koeman wake anaemhitaji pale Barcelona sioni akiwepo mpaka Mei 2021 matokeo hayaridhishi...Yaani sasa nimeelewa kwa nini Barca wanamfuatilia kwa karibu namna hiyo! Liver sample chake aisee, he deserves!
Gemu kuelekea mwishoni walibadilika mno si unajua magoli yakiwa mengi na kujiamini kunakua juu zaidi...Kwa hiyo hisia za The Boss zilikuwa wrong!