[emoji23][emoji23] sijawahi kujua km ukishinda derby unapata point5!!!Poa mkuu, hiyo itakua ni kabla ya vijana wa Frank Lampawize kukutoa hapo kileleni mapema kesho
Daaaaaah hii ya leo ni shida [emoji3][emoji3]Goli la Liverpool likipelekwa VAR tuu lazima libatilishwe
ndio iko ivo ukiona limepelekwa kule ujue tuu no goalDaaaaaah hii ya leo ni shida [emoji3][emoji3]
Mkuu hacha kupanic mbona mnacheza vizuri tu na mnaongoza?Tukipata sisi Tuta na tukafunga kuna Kenge zitakuja kusema tumebebwa hapa
Hacha=achaMkuu hacha kupanic mbona mnacheza vizuri tu na mnaongoza?
Ni ngumu sana kwa hizi VAR[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] hii game tutatoboa kweli kwa mchezo huu? Kiukwel hatupo vzur leo
Shida ni kikosi. Majeruhi kibao halafu tuna mechi mfululizo. Imagine leo, Jumanne, Jumamosi ijayo then Jumanne tena.Madogo haw wanapangwa weng sana, alafu hawana uzoefu na ligi
Ni Bora wangekuw wanawekwa hat wawili kw game
Kabisa kabisa. Inatakiwa ampishe Curtis JonesHuyu Minamino ametimiza hesabu ya XI tu humu uwanjani