Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Huyu dogo yuko poa sana..hivi Chelsea wamemuuza jumla..Bayern pia wanamtakaTutashinda hii, halafu utakuja mechi nyingine tena kutuwekea kipimo.
Tariq Lamptey hayupo leo, ni dogo nayependa kutazama game yake kwa madogo wa EPL aisee.
Huyu dogo yuko poa sana..hivi Chelsea wamemuuza jumla..Bayern pia wanamtaka
RB angecheza Milner na Hendo atulie nafasi yake acheze Jones...Team Updates:
Henderson leo yuko fit baada ya kufanya mazoezi jana.
TAA, Thiago, Keita, Ox Chamberlain na Shaqir bado ni majeruhi.
Utabiri wa kikosi:
Golini - Alisson
Beki - Neco Williams, Robertson, Matip na Fabinho.
Viungo - Henderson, Wijnaldum
Forwards - Jota, Firmino, Salah na Mane.
NB: Jones na Milner mmoja kati yao anaweza kuanza kutegemea na mahitaji ya hii mechi.
Sadio Mane kuna uwezekano wa kupumzishwa pia aingie kipindi cha pili, kwa ajili ya game ijayo ya UEFA (huyu alicheza dakika zote game ya Atalanta).
Tusijeluambiwa Matip majeruhi tena
Mbona n mara moja tu jaman. Salah naye kakosa, au hamuoniHii beki leo, ni mwendo wa kukoswa tuu
Huyu Nico Williams ni uchafuKuna kila dalili ya yale ya A Villa kujirudia leo.
Fingers crossed.
Kaa uone point 3 zinavyomshusha spurs pale topHodi kwa wazee wa kutema yai
Leo ntakaa humu
Madogo haw wanapangwa weng sana, alafu hawana uzoefu na ligiHuyu Nico Williams ni uchafu
Timu yote haipo vizuri kipindi hiki cha kwanza.Huyu Nico Williams ni uchafu
imeenda hadi tuta, tukiendelea hivi watapata goli kabisaaaMbona n mara moja tu jaman. Salah naye kakosa, au hamuoni